ASANTE AZAM TV

ASANTE AZAM TV

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,018
Reaction score
16,120
Kwa siku zisizopungua tano Azam TV kupitia channel yake ya sinema zetu imekuwa ikionyesha filamu za legendary Steven Kanumba kama kumbukumbu kwake.binafsi nimefurahi namna walivyompa hiyo heshima!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza kweli. Badala utwambie ni nani huyo we unaona umeshamaliza na kuja kuanzisha uzi. Huyo legendary wako anahusika na nini na amecheza movies gani?
 
Back
Top Bottom