Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
mzabzab loh loh . . . hahah!ofcoz...well we shall invite u for dinner ili upate kumuona ila tatizo nyie wanawake mna wivu usije taka kum-dethrone mwenzio bure lol
Kumbuka kutoa mchango ni hiari si lazima. Angalia ni nini cha muhimu kwako then fanya cha kwanza.Hata harusi sio lazima kufanya. Tunapeana tu tabu. Hapa nina kadi za michango ya sendoff na harusi jumla M8, na zote hizo ni za mwaka huu kuanzia mwezi wa 9, mshahara laki 5...mmmh kwa kweli hapana.
mzabzab loh loh . . . hahah!
Mekusamehe bure.
But ....I love it, atleast unaonekana kuwa protective.
Ha ha haa..aisee unajituma si kidogo.
hahahah so u a gud gud clean gal lol dont tempt me jamani loh!
lakini inafaa kufikiri kabla ya kutenda,hasa mnakwenda honey moon kufanya nini,na je lazima kwenda kwenye mahoteli makubwa ya gharama ili kupunzika,lakini nafikiri ni muda mzuri wa kujipanga na kujiandaa hata kiakili kwa ajili ya maisha mapya mliyo anza kama mume na mke