Asalimwezi/honeymoon!!??

Hahhaaa..si mkapumzike gheto. Andikeni kibao getini au mlangoni "JUST MARRIED, DONT DISTURB", AU " NEWLY MARRIED, HONEYMOON IN PROGRESS"

kubadili mazingira kuna
faida yake,sio kila siku kulalia banko tu
hakuna jipya akuuuu,ukienda sitng makochi yaleyale
haileti hamasa meeeeeen
 
Hahhaaa..si mkapumzike gheto. Andikeni kibao getini au mlangoni "JUST MARRIED, DONT DISTURB", AU " NEWLY MARRIED, HONEYMOON IN PROGRESS"

Napenda sana watu wanaofikiria tofauti. Na pengine watu wanachelewa kuoa au kuogopa kwa kukwepa gharama. Mi nitapenda mchumba wangu nikimuambia sina hela ya shela..yeye aniambie...powa tushone kitenge na kilemba kama mama JK.

Du kweli we jamaa ni mbahili ...

Kwa staili hii tafuta chotara mwenzio mix ya mchaga na mpare.

Ila wachaga wanapenda sherehe haoooooo.... #sijuiLakini
 
Cha msingi ni upendo na maelewano haya mambo mengine ni ziada tu ila km uwezo unaruhusu poa ila isiwe ndio kuumizana kichwa kudai watu michango km uliwakopesha lol!

Hahhahaaa..na Siku hizi unatumiwa ujumbe kila mwisho wa wiki;
Ndugu, kwa niaba ya kamati ya maandalizi ya harusi ya Cantalisia unakumbushwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:

kubadili mazingira kuna
faida yake,sio kila siku kulalia banko tu
hakuna jipya akuuuu,ukienda sitng makochi yaleyale
haileti hamasa meeeeeen

Mazingira gani mapya unayoyataka? Kwani hapo kwa mumeo kulikuwa kwako kiasi kwamba umepazoea kiasi hicho?
 
Du kweli we jamaa ni mbahili ...

Kwa staili hii tafuta chotara mwenzio mix ya mchaga na mpare.

Ila wachaga wanapenda sherehe haoooooo.... #sijuiLakini

Sio ubahili tu, maisha yanakuwa magumu halafu unaendekeza tu vitu ambavyo fulani na fulani wamefanya!!! Ngashtuka chaa.
 
hahahah avemaria naona hapo umekosea kidogo...mie mwenzio navalue sana ndoa na ipo siku nataka niwe na my wife ambaye nitampenda na sita msaliti.

We si huwa unagegeda tu . . . lini umebadili idea hata ufikirie kuwa na my wife wako???

Just curious!!!
 
Mmegegedana kwa mwaka na zaidi, kisha baada ya harusi bado mnaenda honeymoon!!!! Mimi kwangu naona ni uharibifu wa hela..
*mimi ni mchanganyiko wa kichaga* na kipare#

ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingieucheze, ukishaenda honeymoon hata kama uligegeda miaka 20 iliyopita ya honeymoon tofauti. Jaribu then utaniambia, usijiwekee mdomoni maneno ya mkosaji.
 
ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingieucheze, ukishaenda honeymoon hata kama uligegeda miaka 20 iliyopita ya honeymoon tofauti. Jaribu then utaniambia, usijiwekee mdomoni maneno ya mkosaji.

Mkuu mimi sio mkosaji, nawaza tu tofauti kidogo.
 
kwahyo unataka ku-justfy nin? kwamba wachaga na wapare wanabana hela?
 
We si huwa unagegeda tu . . . lini umebadili idea hata ufikirie kuwa na my wife wako???

Just curious!!!

hahaha when one finds a woman that is worthy of being called a wife then kugegeda kunaonekana ni ubatili tuu
 
hahaha when one finds a woman that is worthy of being called a wife then kugegeda kunaonekana ni ubatili tuu

So you've got one??

Heheh I'm interested to know that woman who captured your mind!:heh:
 
So you've got one??

Heheh I'm interested to know that woman who captured your mind!:heh:

ofcoz...well we shall invite u for dinner ili upate kumuona ila tatizo nyie wanawake mna wivu usije taka kum-dethrone mwenzio bure lol
 
aman na iamue mioyon mwenu
fanya kitu roho inapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…