Asali wa moyo

Hahaha yaani kila nikiona couple inafunga ndoa. All smiles, the eye contacts and all that. Nawaza tu ukiambiwa kuna siku watageuka maadui, daah!

unakumbukia maneno matamu afu unaishia kutabasamu na kublush.


Hivi ni diamond ndio aliimba 'zikitimia wapenda naowanageuka maadui' ?
 
daaaa hayo maneno hayana uasilia wa matendo.....tupa kule
 
 
Last edited by a moderator:
kwa dhiki na faraja kaza roho mmmhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…