Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,368 Sep 6, 2019 #1 We ndo asali wangu wa moyo kwa dhiki na faraja mpenzi kaza roho ingawa wayatasemwa mengi midomoni mwao usijali hayo. "Siogopi kuitwa zoba au poyoyo " Sing'oleki hata kwa reki" "Mtoto anakula vitu laini laini,juice passion enbe,miwa,tambi ,koronya vilaini" "Unajua,wengine hawajui nini kupenda,unajua wengine wanaogopa hata denda"
We ndo asali wangu wa moyo kwa dhiki na faraja mpenzi kaza roho ingawa wayatasemwa mengi midomoni mwao usijali hayo. "Siogopi kuitwa zoba au poyoyo " Sing'oleki hata kwa reki" "Mtoto anakula vitu laini laini,juice passion enbe,miwa,tambi ,koronya vilaini" "Unajua,wengine hawajui nini kupenda,unajua wengine wanaogopa hata denda"
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Sep 7, 2019 #2 Mapenzi Hayajawahi Kuacha Mtu Salama