D Dominic nongele Member Joined Nov 19, 2013 Posts 16 Reaction score 0 Jun 22, 2014 #1 Asali mbichi safi inapatikana kwa wingi kutoka taasisi tajwa hapo juu. Piga No.0788372113 & 0755951333 na 0715372113.
Asali mbichi safi inapatikana kwa wingi kutoka taasisi tajwa hapo juu. Piga No.0788372113 & 0755951333 na 0715372113.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,318 Reaction score 103,580 Jun 22, 2014 #2 Unapatikana mkoa gani, na bei gani kwa lita, nusu lita
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Jun 22, 2014 #3 Weka bei.
D Dominic nongele Member Joined Nov 19, 2013 Posts 16 Reaction score 0 Aug 6, 2014 Thread starter #4 Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3).
Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3).
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,463 Reaction score 5,361 Aug 7, 2014 #5 Dominic nongele said: Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3). Click to expand... Nzihi si pale nyuma ya Kidamali? Nilifika zamani sana Nzihi kwa yule Greek mlima tumbaku, weka na umbali toka pale Nzihi mpaka Iringa mjini. Option two, kwa nini usipeleke Dabaga veg. and Fruit Canning pale Ipogoro? Siku hizi wanasindika asali pia.
Dominic nongele said: Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3). Click to expand... Nzihi si pale nyuma ya Kidamali? Nilifika zamani sana Nzihi kwa yule Greek mlima tumbaku, weka na umbali toka pale Nzihi mpaka Iringa mjini. Option two, kwa nini usipeleke Dabaga veg. and Fruit Canning pale Ipogoro? Siku hizi wanasindika asali pia.
D Dominic nongele Member Joined Nov 19, 2013 Posts 16 Reaction score 0 Aug 8, 2014 Thread starter #6 Ok nitajaribu kupeleka huko.
D Dominic nongele Member Joined Nov 19, 2013 Posts 16 Reaction score 0 Aug 8, 2014 Thread starter #7 Toka iringa mpaka nzihi ni km 23
B Bizney JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 454 Reaction score 48 Aug 8, 2014 #8 Mimi ninayo asali mbichi nina lt 240 nauza zote pamoja @ 1 sh.8,000 haijachakachuli malipo ni baada ya kuthibitisha ubora wake. 0773 944 944
Mimi ninayo asali mbichi nina lt 240 nauza zote pamoja @ 1 sh.8,000 haijachakachuli malipo ni baada ya kuthibitisha ubora wake. 0773 944 944