Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay

du.jpg
 
Sijui kama naweza zoezi hilo ,maana nikishaona pichu tu akili syo YANGU tena ,italudi wakati wa kutafuta shoot ya 3,shikamo mleta maada
 
honey.jpg


Mmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.

Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.

Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.
 
Back
Top Bottom