KABAKA28 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2014 Posts 211 Reaction score 229 Oct 12, 2015 #1 Habari za muda huu wana Jf, Mimi nimfugaji wa nyuki nipo Tabora, Nina lita 600 za asali mbichi, naomba anaefaham soko lilipo anijuze maana mwakaa huu naona neema imenitembelea kwenye mizinga yangu. tuwasiliane hapa 0767521736 Asanteni sana.
Habari za muda huu wana Jf, Mimi nimfugaji wa nyuki nipo Tabora, Nina lita 600 za asali mbichi, naomba anaefaham soko lilipo anijuze maana mwakaa huu naona neema imenitembelea kwenye mizinga yangu. tuwasiliane hapa 0767521736 Asanteni sana.
TEK Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 184 Reaction score 37 Oct 12, 2015 #2 Lita moja unauzaje?
mafimboo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 2,415 Reaction score 978 Oct 12, 2015 #3 lete dodoma kuna soko.ila usiichuje