TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,579 Reaction score 18,726 Jan 24, 2011 #21 funzadume said: huyu atakuwa na minyoo dume au fangus yabisi Click to expand... mkuu tangu nizaliwe sijawahi kusikia fangasi yabisi... nini maana yake? solid fungus or?
funzadume said: huyu atakuwa na minyoo dume au fangus yabisi Click to expand... mkuu tangu nizaliwe sijawahi kusikia fangasi yabisi... nini maana yake? solid fungus or?
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Jan 25, 2011 #22 Ya ndani iliingia mtaroni
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Jan 25, 2011 #23 M-bongotz said: Ya ndani iliingia mtaroni Click to expand... A hahahahaaaaah!!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Jan 25, 2011 #24 asalaaaaaaleeeee kapatikana
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 77 Jan 25, 2011 #25 Katavi said: Kuna muwasho mwingine hautoi nafasi ya kuangalia mazingira kama yanaruhusu! Click to expand... Teh teh teh! Mnaukumbuka ule muwasho wa Klorokwini?
Katavi said: Kuna muwasho mwingine hautoi nafasi ya kuangalia mazingira kama yanaruhusu! Click to expand... Teh teh teh! Mnaukumbuka ule muwasho wa Klorokwini?
Katibukata Senior Member Joined Dec 27, 2007 Posts 182 Reaction score 11 Jan 25, 2011 #26 Ajabu ni nini? C amewashwa na amejikuna mwenyewe! Hajaomba msaada wa kukunwa. Dada Angelina, wala ucjali!
Ajabu ni nini? C amewashwa na amejikuna mwenyewe! Hajaomba msaada wa kukunwa. Dada Angelina, wala ucjali!
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jan 25, 2011 #27 Cha ajabu nini hapo? Mambo ya udaku hayo: ingekuwa mama yake kakaa vibaya angempiga hiyo picha? Hebu jikune kwa raha zako mama!
Cha ajabu nini hapo? Mambo ya udaku hayo: ingekuwa mama yake kakaa vibaya angempiga hiyo picha? Hebu jikune kwa raha zako mama!
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jan 25, 2011 #28 Ningekuwa bwana wa huyu dem ningechukulia hii ishu pasono! Ningemtafuta aliyemfotoa waubani wangu na kumweka kwenye mablogu! wallah ningemfanyia kitu mbaya sana ambayo ingemuembarasi kipindi kirefu!
Ningekuwa bwana wa huyu dem ningechukulia hii ishu pasono! Ningemtafuta aliyemfotoa waubani wangu na kumweka kwenye mablogu! wallah ningemfanyia kitu mbaya sana ambayo ingemuembarasi kipindi kirefu!