ASA Microfinance yatia fora kwa unyanyasaji wa kingono

Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi sana kuandika kwa ufupi ili tusichoshane katika usomaji.

Kampuni hii inajihusisha na kutoa mikopo midogo midogo na ya kati kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati. Pia ni moja ya kampuni iliyoajiri vijana wengi wa Kitanzania. Kwa hilo ninawapongeza sana.

Pamoja mazuri hayo, kampuni hii imekuwa na kashfa mbali mbali za kuwatesa wafanyakazi wa daraja la chini (Loan Officers). Kuna matukio nimewahi kuyasikia kipindi cha nyuma kuwa wanakuwa treated unfairly, wanaweza kusingiziwa kosa na kuwa fired. Wakianzisha biashara zao binafsi na kampuni ikijua, inawahamisha unfairly au kuwatuhumu wanatumia muda wa ofisini kufanya kazi zao binafsi na wanawahamisha kituo cha kazi au kuwafukuza. Hata tu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzio ni issue, inabidi uandike barua ofisini kuwajulisha kuwa upo kwenye mahusiano na mfanyakazi mwenzio pale mnapofikia stage au maamuzi ya kutaka kuoana.

Hayo siyo hoja ya leo, Tuzungumze kuhusu kichwa cha habari. Hii kampuni imekua ikinyanyasa sana wafanyakazi wa chini kingono. Kimsingi ktk kila branch ya hiyo kampuni, kunakuwa na mdada ambaye ameajiriwa kwa ajili ya kupika, kufanya usafi na domestic activities za Branch. Vyeo vingi vya kati kwenda juu ktk kampuni hii wanakuwa ni wahindi. Sasa hawa wahindi ndio wanaofanya UNYANYASAJI wa KINGONO kwa wale mabinti wanaokuwa wanafanya usafi branch.

Mabinti hawa wanakuwa wanalazimishwa kufanya Mapenzi na hao wahindi na wanakuwa wanapewa presha sana na wanatoa mzigo bila idhini yao. Na wengi wanakua hawana jinsi, wanatoa mzigo bila idhini kwa kuogopa kufukuzwa kazi.

Kimsingi hizo kesi zimewahi kutokea mara nyingi. Juzi kati kwenye Branch moja ya Mjini DSM (jina kapuni), binti mmoja wa usafi aliambiwa ampelekee boss matunda chumbani kwake (wafanyakazi wa hii kampuni kwa kiasi kikubwa wanaishi hapo hapo kwenye branch) alipopeleka, alilazimishwa kufanya Mapenzi na Boss wake Mhindi, akagoma na alipiga kelele hadi staff wote wakaenda na kujaa kwenye chumba cha boss wao. Baada ya kesi hiyo, mabinti wengi wa usafi ktk branch tofauti tofauti walianza kufunguka kuhusu unyama wanaofanyiwa na mabosi wao wahindi.

Malalamiko ya namna hii staff wakipeleka kwa supervisors, hayachukuliwi hatua maana supervisor ni puppet wa hao wahindi

Pamoja na kwamba ushahidi ulikuwa wazi hiyo juzi, hakuna hatua zozote za kinidhamu zimechukuliwa kwa Mhindi huyo na cha ajabu, amehamishiwa HQ Kinondoni kuendelea na kazi.

Kwa issue kama hiyo ingekua ni mbongo angeshafukuzwa kazi mara moja ila kwa vile ni mhindi mwenzao, hawajafanya chochote. Double standard ya kiwango cha Lami. Kimsingi makosa mengi yanayohitaji Disciplinary actions yakifanywa na mbongo, anatajwa na staff wote wanamjua. Ila mhindi hawataji kabisa, inabaki kama story za chini chini tu.

Naomba madawati yanayohusika na jinsia pamoja na vyombo husika vya kisheria wafuatilie jambo hili na kufanya uchunguzi ili hawa watu wachukuliwe hatua kisheria.

Msaada wa maoni pia nini kifanyike ili kukomesha tabia hii?

Ni hayo tu.

Ahsante

Naona wanaokuwa treated hivyo Wana shida kuzidi hiyo kampuni
 
Mleta mada kabla hujachafua jina la Taasisi kubwa kama hiyo ni vyema ungechimba zaidi uje na evidence za tuhuma ulizoziainisha vinginevyo una lengo la kuharibu biashara ya watu...ASA niijuavyo imeajiri wadogo zetu wengi sana zaidi ya elfu moja mia tano na mama zetu na dada zetu wanapata mikopo kutoka ASA tena wengi wanakuwa katika vikundi.
 
Nilifanya kazi ASA miez mitatu ile ya probation, sijajua nilifukuzwa ama niliacha mwenyewe.

Nilikuwa na mahusiano na mfanyakaz mwenzangu means nilikuwa namkaza.

manager na area manager wakajua napita nae wakashindwa niambia live, wakaenda kunistnich kwa mhind, wakaniandikia makosa ya kiwaki nijibu kwa barua sikujibu.

Nikapanga niache kazi so nilkawa nasubiria mshahara utoke kama siku mbili then niamshe, siku mshahara umetoka na mhind nae akaja ofisi yetu.

Hiyo day alinikuta nipo mitungi vibaya halafu mida ya saa 7 mchana, nilimpiga spana za kutosha na manager wake hawakuamini.

Mimi na yule manzi tukaachana nao since those days.

Ila ASA ni kampuni ya kiwaki sana ina turnover kubwa sana ya employees
Ndo yao hayo
 
Nadhani mtoa mada UNGEWEKA USHAHIDI, au lah sivyo wangemkamatisha, kuto kutaja branch iliyohusika na kuto mtaja muhindi aliye husika inaonkena kama unataka kuchafua brand ya kampuni..

Kwa simulizi kutoka kwa my friend ambaye Loan Officer mkongwe.

Zifuatazo ni faida na hasara za kwa wafanyakazi wa ASA

FAIDA
1. Jamaa wana lipa vizuri,
- Tena wana wahisha mishahara kabla ya tarehe 28
  • Hata wakati wa COVID jamaa waliendelea kulipa
  • Wana allowance nyingi, na wanapewa
  • wana likizo nyingi, public holiday zote na weekend hawaendi

2. uhakika wa kazi,
  • ni kampuni kubwa siyo rahis kufirisika
  • wana matawi mengi , hivyo kuhama sehemu mbalimbali ya nchi ni rahis

3. kujali wafanyakazi
- wana pewa tablets
wanapewa vocha
wana ofisi kali full WIfi
promotion za ASA ni uhakika, kama una kidhi vigezo pia wana anual increament, ukikaa miaka mingi pale ASA mshahara wako una mzidi kwa mbali daktari

UKUDA WA ASA
1. Kwa mfumo wa ASA wa bangladeshi ndiyo mabosi- hivyo wana wajengea kisaikolojia wateja wao wawe wana waogopa kinoma. kama uchawi vile, akija huyo gabachori vijana wa ASA wana nywea kama mbwa kaona chatu.. na hii ya hao wafanya kazi kukazwa inawezekana

2. Over work, kuna baadhi ya branch kutoka saa nne usiku ni kawaida, yaani jamaa hawajali kabisa over time, unatoka kitaa una rudi branch ku disburse- HUU NI UKUDA sana.. yaani kazi ya watu wawili inafanyika na mtu mmoja. kimsingi ili bidi waheshimu mkataba wao kuwa muda kazi mwisho saa kumi na moja. na branch IFUNGWE MUDA Huo.

3. Ni mwiko ASA kula mademu wa ASA, ukibainika tu- " shokozi" au "teminesheni" ina kuhusu, hawa jamaa mfumo kama wa kikatoliki na mapadri wana amini mkiwa na mahusuano kazi zao haziendi... so vijana wana fanya kwa kujificha kinoma.

4. ASA upande wa ajira hapo ndiyo pana boa.. kila mara wana tanga ajira 100, lakini unakuta wakati huo hawana hata uhitaji.. halafu ujinga mkubwa hata utoke KIGOMA ,, jamaa wanaweza kukalisha dar miezi hata sita, hawajui unakula wapi na unalala wapi, hapo umemaliza training zao una subiri kupangiwa kituo. kumbe wana mpango wa kufungua kituo Mbeya- mwezi wa tatu mwakani, kwa hiyo eti wana jiandaa....
ilitakiwa ukimaliza training uaajiriwe au laah uendelee kulipwa posho mpaka wao wapate sehemu ya kukuweka
 
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi sana kuandika kwa ufupi ili tusichoshane katika usomaji.

Kampuni hii inajihusisha na kutoa mikopo midogo midogo na ya kati kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati. Pia ni moja ya kampuni iliyoajiri vijana wengi wa Kitanzania. Kwa hilo ninawapongeza sana.

Pamoja mazuri hayo, kampuni hii imekuwa na kashfa mbali mbali za kuwatesa wafanyakazi wa daraja la chini (Loan Officers). Kuna matukio nimewahi kuyasikia kipindi cha nyuma kuwa wanakuwa treated unfairly, wanaweza kusingiziwa kosa na kuwa fired. Wakianzisha biashara zao binafsi na kampuni ikijua, inawahamisha unfairly au kuwatuhumu wanatumia muda wa ofisini kufanya kazi zao binafsi na wanawahamisha kituo cha kazi au kuwafukuza. Hata tu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzio ni issue, inabidi uandike barua ofisini kuwajulisha kuwa upo kwenye mahusiano na mfanyakazi mwenzio pale mnapofikia stage au maamuzi ya kutaka kuoana.

Hayo siyo hoja ya leo, Tuzungumze kuhusu kichwa cha habari. Hii kampuni imekua ikinyanyasa sana wafanyakazi wa chini kingono. Kimsingi ktk kila branch ya hiyo kampuni, kunakuwa na mdada ambaye ameajiriwa kwa ajili ya kupika, kufanya usafi na domestic activities za Branch. Vyeo vingi vya kati kwenda juu ktk kampuni hii wanakuwa ni wahindi. Sasa hawa wahindi ndio wanaofanya UNYANYASAJI wa KINGONO kwa wale mabinti wanaokuwa wanafanya usafi branch.

Mabinti hawa wanakuwa wanalazimishwa kufanya Mapenzi na hao wahindi na wanakuwa wanapewa presha sana na wanatoa mzigo bila idhini yao. Na wengi wanakua hawana jinsi, wanatoa mzigo bila idhini kwa kuogopa kufukuzwa kazi.

Kimsingi hizo kesi zimewahi kutokea mara nyingi. Juzi kati kwenye Branch moja ya Mjini DSM (jina kapuni), binti mmoja wa usafi aliambiwa ampelekee boss matunda chumbani kwake (wafanyakazi wa hii kampuni kwa kiasi kikubwa wanaishi hapo hapo kwenye branch) alipopeleka, alilazimishwa kufanya Mapenzi na Boss wake Mhindi, akagoma na alipiga kelele hadi staff wote wakaenda na kujaa kwenye chumba cha boss wao. Baada ya kesi hiyo, mabinti wengi wa usafi ktk branch tofauti tofauti walianza kufunguka kuhusu unyama wanaofanyiwa na mabosi wao wahindi.

Malalamiko ya namna hii staff wakipeleka kwa supervisors, hayachukuliwi hatua maana supervisor ni puppet wa hao wahindi

Pamoja na kwamba ushahidi ulikuwa wazi hiyo juzi, hakuna hatua zozote za kinidhamu zimechukuliwa kwa Mhindi huyo na cha ajabu, amehamishiwa HQ Kinondoni kuendelea na kazi.

Kwa issue kama hiyo ingekua ni mbongo angeshafukuzwa kazi mara moja ila kwa vile ni mhindi mwenzao, hawajafanya chochote. Double standard ya kiwango cha Lami. Kimsingi makosa mengi yanayohitaji Disciplinary actions yakifanywa na mbongo, anatajwa na staff wote wanamjua. Ila mhindi hawataji kabisa, inabaki kama story za chini chini tu.

Naomba madawati yanayohusika na jinsia pamoja na vyombo husika vya kisheria wafuatilie jambo hili na kufanya uchunguzi ili hawa watu wachukuliwe hatua kisheria.

Msaada wa maoni pia nini kifanyike ili kukomesha tabia hii?

Ni hayo tu.

Ahsante
Skia umefanya vizuri Ila jina kapuni ndio nn? Sema branch husika na itajulikana msaada gani' utolewe.
 
Nadhani mtoa mada UNGEWEKA USHAHIDI, au lah sivyo wangemkamatisha, kuto kutaja branch iliyohusika na kuto mtaja muhindi aliye husika inaonkena kama unataka kuchafua brand ya kampuni..

Kwa simulizi kutoka kwa my friend ambaye Loan Officer mkongwe.

Zifuatazo ni faida na hasara za kwa wafanyakazi wa ASA

FAIDA
1. Jamaa wana lipa vizuri,
- Tena wana wahisha mishahara kabla ya tarehe 28
  • Hata wakati wa COVID jamaa waliendelea kulipa
  • Wana allowance nyingi, na wanapewa
  • wana likizo nyingi, public holiday zote na weekend hawaendi

2. uhakika wa kazi,
  • ni kampuni kubwa siyo rahis kufirisika
  • wana matawi mengi , hivyo kuhama sehemu mbalimbali ya nchi ni rahis

3. kujali wafanyakazi
- wana pewa tablets
wanapewa vocha
wana ofisi kali full WIfi
promotion za ASA ni uhakika, kama una kidhi vigezo pia wana anual increament, ukikaa miaka mingi pale ASA mshahara wako una mzidi kwa mbali daktari

UKUDA WA ASA
1. Kwa mfumo wa ASA wa bangladeshi ndiyo mabosi- hivyo wana wajengea kisaikolojia wateja wao wawe wana waogopa kinoma. kama uchawi vile, akija huyo gabachori vijana wa ASA wana nywea kama mbwa kaona chatu.. na hii ya hao wafanya kazi kukazwa inawezekana

2. Over work, kuna baadhi ya branch kutoka saa nne usiku ni kawaida, yaani jamaa hawajali kabisa over time, unatoka kitaa una rudi branch ku disburse- HUU NI UKUDA sana.. yaani kazi ya watu wawili inafanyika na mtu mmoja. kimsingi ili bidi waheshimu mkataba wao kuwa muda kazi mwisho saa kumi na moja. na branch IFUNGWE MUDA Huo.

3. Ni mwiko ASA kula mademu wa ASA, ukibainika tu- " shokozi" au "teminesheni" ina kuhusu, hawa jamaa mfumo kama wa kikatoliki na mapadri wana amini mkiwa na mahusuano kazi zao haziendi... so vijana wana fanya kwa kujificha kinoma.

4. ASA upande wa ajira hapo ndiyo pana boa.. kila mara wana tanga ajira 100, lakini unakuta wakati huo hawana hata uhitaji.. halafu ujinga mkuba hata utoke KIGOMA ,, jamaa wanaweza kukalisha dar miezi hata sita, hawajui unakula wapi na unalala wapi, hapo umemaliza training zao una subiri kupangiwa kituo. kumbe wana mpango wa kufungua kituo Mbeya- mwezi wa tatu mwakani, kwa hiyo eti wana jiandaa....
Mishahara yao ipoje?
 
Alafu hayo MATAKOKURU sijui TAKUKURU wanashindwa kupenyeza Nyoka wao humo kweli? Mie ningekuw ndio kamishna katika kila taasisi hizi binafsi napenyeza nyoka. Hasa hizi za wahindi. Najaza nyoka humo wa kutosha.. mngeona show
 
Nadhani mtoa mada UNGEWEKA USHAHIDI, au lah sivyo wangemkamatisha, kuto kutaja branch iliyohusika na kuto mtaja muhindi aliye husika inaonkena kama unataka kuchafua brand ya kampuni..

Kwa simulizi kutoka kwa my friend ambaye Loan Officer mkongwe.

Zifuatazo ni faida na hasara za kwa wafanyakazi wa ASA

FAIDA
1. Jamaa wana lipa vizuri,
- Tena wana wahisha mishahara kabla ya tarehe 28
  • Hata wakati wa COVID jamaa waliendelea kulipa
  • Wana allowance nyingi, na wanapewa
  • wana likizo nyingi, public holiday zote na weekend hawaendi

2. uhakika wa kazi,
  • ni kampuni kubwa siyo rahis kufirisika
  • wana matawi mengi , hivyo kuhama sehemu mbalimbali ya nchi ni rahis

3. kujali wafanyakazi
- wana pewa tablets
wanapewa vocha
wana ofisi kali full WIfi
promotion za ASA ni uhakika, kama una kidhi vigezo pia wana anual increament, ukikaa miaka mingi pale ASA mshahara wako una mzidi kwa mbali daktari

UKUDA WA ASA
1. Kwa mfumo wa ASA wa bangladeshi ndiyo mabosi- hivyo wana wajengea kisaikolojia wateja wao wawe wana waogopa kinoma. kama uchawi vile, akija huyo gabachori vijana wa ASA wana nywea kama mbwa kaona chatu.. na hii ya hao wafanya kazi kukazwa inawezekana

2. Over work, kuna baadhi ya branch kutoka saa nne usiku ni kawaida, yaani jamaa hawajali kabisa over time, unatoka kitaa una rudi branch ku disburse- HUU NI UKUDA sana.. yaani kazi ya watu wawili inafanyika na mtu mmoja. kimsingi ili bidi waheshimu mkataba wao kuwa muda kazi mwisho saa kumi na moja. na branch IFUNGWE MUDA Huo.

3. Ni mwiko ASA kula mademu wa ASA, ukibainika tu- " shokozi" au "teminesheni" ina kuhusu, hawa jamaa mfumo kama wa kikatoliki na mapadri wana amini mkiwa na mahusuano kazi zao haziendi... so vijana wana fanya kwa kujificha kinoma.

4. ASA upande wa ajira hapo ndiyo pana boa.. kila mara wana tanga ajira 100, lakini unakuta wakati huo hawana hata uhitaji.. halafu ujinga mkubwa hata utoke KIGOMA ,, jamaa wanaweza kukalisha dar miezi hata sita, hawajui unakula wapi na unalala wapi, hapo umemaliza training zao una subiri kupangiwa kituo. kumbe wana mpango wa kufungua kituo Mbeya- mwezi wa tatu mwakani, kwa hiyo eti wana jiandaa....
ilitakiwa ukimaliza training uaajiriwe au laah uendelee kulipwa posho mpaka wao wapate sehemu ya kukuweka
Jamaa umefafanua vizur kinoma
Unaonekana unawajua fresh
 
Back
Top Bottom