Askofu Shoo: Watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dk Fredrick Shoo amewataka watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu.

Kauli ya Askofu Shoo inatokana na kuchukizwa na jaribio lililoshindwa la kumuua Lissu Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, ambapo watu waliokuwa na silaha walishambulia gari lake kwa risasi 32.

Katika shambulizi hilo, kati ya risasi hizo 32 zilizofyatuliwa, risasi tano zilimpata Lissu maeneo mbalimbali ya mwili wake, na sasa anatibiwa katika hospitali ya Aghakhan ya Jijini Nairobi,Kenya.

Akizungumza kutoka Bonn Ujerumani leo , Askofu Shoo ametoa wito maalum kwa Serikali ya Rais John Magufuli, kuhakikisha wote waliohusika na unyama huo wanakamatwa.

“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana na taarifa za kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lisu. Watanzania tunapaswa kukataa na kulaani kwa nguvu zote vitendo kama hivi,”amesema na kuongeza;-

“Mimi ninaamini kuwa nguvu zile zile za uovu zilizokuwepo tangu awamu zilizotangulia ndizo zinazoendeleza unyama kama huu. Ninamwomba Mungu ampe (Lissu) uponyaji wa haraka”.

“Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kufunua ufisadi unaoendeshwa na wababe wachache. Hawa wanaona sasa wameanza kutikiswa, na kwa kuwa kwao wingi wa mali na pesa ndio mungu wao”

“Hatushangai wakitumia kila njia kuzuia ufisadi wao usianikwe hadharani. Watajaribu kila njia kuzuia ukweli lakini wanasahau kuwa ukweli hauzuiliki milele kuna siku utajitokeza tu”.

“Kumwondoa Lissu mmoja kutazalisha Lissu maelfu. Wito wangu kwa serikali ya Dr Magufuli ni huu, kwamba watu wote waliohusika wasakwe na wafikishwe mbele ya sheria,”.

Dk Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT amesema Serikali yoyote makini inajua namna ya kuulinda upinzani kwani ukitumika vizuri unakuwa kioo cha serikali cha kujitazama.

Mara kadhaa, kiongozi huyo amekuwa akitoa hotuba zenye hisia kali akitaka Serikali na vyombo vyake vya usalama kuchukua hatua, kutokana na kuongezeka kwa matukio ya ajabu ya kihalifu.

Mwananchi
 
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dk Fredrick Shoo amewataka watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu.
Kauli ya Askofu Shoo inatokana na kuchukizwa na jaribio lililoshindwa la kumuua Lissu Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, ambapo watu waliokuwa na silaha walishambulia gari lake kwa risasi 32.
Katika shambulizi hilo, kati ya risasi hizo 32 zilizofyatuliwa, risasi tano zilimpata Lissu maeneo mbalimbali ya mwili wake, na sasa anatibiwa katika hospitali ya Aghakhan ya Jijini Nairobi,Kenya.
Akizungumza kutoka Bonn Ujerumani leo , Askofu Shoo ametoa wito maalum kwa Serikali ya Rais John Magufuli, kuhakikisha wote waliohusika na unyama huo wanakamatwa.
“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana na taarifa za kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lisu. Watanzania tunapaswa kukataa na kulaani kwa nguvu zote vitendo kama hivi,”amesema na kuongeza;-
“Mimi ninaamini kuwa nguvu zile zile za uovu zilizokuwepo tangu awamu zilizotangulia ndizo zinazoendeleza unyama kama huu. Ninamwomba Mungu ampe (Lissu) uponyaji wa haraka”.
“Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kufunua ufisadi unaoendeshwa na wababe wachache. Hawa wanaona sasa wameanza kutikiswa, na kwa kuwa kwao wingi wa mali na pesa ndio mungu wao”
“Hatushangai wakitumia kila njia kuzuia ufisadi wao usianikwe hadharani. Watajaribu kila njia kuzuia ukweli lakini wanasahau kuwa ukweli hauzuiliki milele kuna siku utajitokeza tu”.
“Kumwondoa Lissu mmoja kutazalisha Lissu maelfu. Wito wangu kwa serikali ya Dr Magufuli ni huu, kwamba watu wote waliohusika wasakwe na wafikishwe mbele ya sheria,”.
Dk Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT amesema Serikali yoyote makini inajua namna ya kuulinda upinzani kwani ukitumika vizuri unakuwa kioo cha serikali cha kujitazama.
Mara kadhaa, kiongozi huyo amekuwa akitoa hotuba zenye hisia kali akitaka Serikali na vyombo vyake vya usalama kuchukua hatua, kutokana na kuongezeka kwa matukio ya ajabu ya kihalifu

Mwananchi
oh....finally!

hizi ndizo sauti tunazotaka kuzisikia dhidi ya hii regime...
 
KUMUONDOA LISSU MMOJA, KUTAZALISHA LISSU WENGINE MAELFU - ASKOFU SHOO.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dr.Fredrick Shoo amewataka watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu.

Kauli ya Askofu Shoo inatokana na kuchukizwa na jaribio lililoshindwa la kumuua Lissu Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, ambapo watu waliokuwa na silaha walishambulia gari lake kwa risasi 32.

Katika shambulizi hilo, kati ya risasi hizo 32 zilizofyatuliwa, risasi tano zilimpata Lissu maeneo mbalimbali ya mwili wake, na sasa anatibiwa katika hospitali ya Aghakhan ya Jijini Nairobi Kenya.

Akizungumza kutoka Bonn Ujerumani leo, Askofu Shoo ametoa wito maalum kwa Serikali ya Rais John Magufuli, kuhakikisha wote waliohusika na unyama huo wanakamatwa.

“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana na taarifa za kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lisu. Watanzania tunapaswa kukataa na kulaani kwa nguvu zote vitendo kama hivi” amesema na kuongeza.

“Mimi ninaamini kuwa nguvu zile zile za uovu zilizokuwepo tangu awamu zilizotangulia ndizo zinazoendeleza unyama kama huu.

Ninamwomba Mungu ampe (Lissu) uponyaji wa haraka. Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kufunua ufisadi unaoendeshwa na wababe wachache. Hawa wanaona sasa wameanza kutikiswa, na kwa kuwa kwao wingi wa mali na pesa ndio mungu wao”

“Hatushangai wakitumia kila njia kuzuia ufisadi wao usianikwe hadharani. Watajaribu kila njia kuzuia ukweli lakini wanasahau kuwa ukweli hauzuiliki milele kuna siku utajitokeza tu”

“Kumwondoa Lissu mmoja kutazalisha Lissu maelfu. Wito wangu kwa serikali ya Dr Magufuli ni huu, kwamba watu wote waliohusika wasakwe na wafikishwe mbele ya sheria”

Dr.Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT amesema Serikali yoyote makini inajua namna ya kuulinda upinzani kwani ukitumika vizuri unakuwa kioo cha serikali cha kujitazama.
 
Ujinga wao watamshambulia mtoa mada badala ya kuijadili mada yenyewe. Kila mtu anajua ni nani anatamani Lissu afe!! Kuna kauli ilikuwa inatolewa kwa kurudiwarudiwa sana kuwa "si mnajua msaliti huwa anafanywa nini vitani?" Hii ni kauli yenye kuashiria tamaa ya kumwaga damu ya binadamu mwingine!
 
Kumwondoa Lissu mmoja kutazalisha Lissu maelfu. Wito wangu kwa serikali ya Dr Magufuli ni huu, kwamba watu wote waliohusika wasakwe na wafikishwe mbele ya sheria”.
 
Wakuu someni propaganda za mtandaoni za ccm baada ya kutokea tukio la lissu

Kipo huko facebook kinaitwa habari tanzania

CHADEMA SI CHADEMA TENA. KUNA CHADEMA TANO.

Anaandika #Vitalis_Konga (Kada wa CCM)

Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya TL na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya TL bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya TL na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.

Vitalis Konga
Njombe Mjini.

Nini maoni yako???
Kuna ukweli wowote au jamaa kachanganyikiwa??
 
Title inasema kainanga Serikal ya JPM lakin kwny Maelezo yako anaiomba Serikal isaidie kuwasaka Wahusika!
 
Tunataka maaskofu kama huyu na Padri Mapunda!! Ingawa uvccm lazima warushe matusi sishangai!!

Huyu mtukufu asiyejaribiwa aelezwe kuwa mzalendo si lazima uwe mfuasi wake. Lissu ni mzalendo na Mungu baba mwema wa mbinguni anajua. Hata kama Lumumba hawataki!!

Cairo's
 
Wakuu someni propaganda za mtandaoni za ccm baada ya kutokea tukio la lissu

Kipo huko facebook kinaitwa habari tanzania

CHADEMA SI CHADEMA TENA. KUNA CHADEMA TANO.

Anaandika #Vitalis_Konga (Kada wa CCM)

Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya TL na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya TL bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya TL na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.

Vitalis Konga
Njombe Mjini.

Nini maoni yako???
Kuna ukweli wowote au jamaa kachanganyikiwa??
Hizi pumba hii inaonyesha kiasi gani vijana wa lumumba hawana akili.
 
Madaraka na Dola ndio Mungu wao......asante Dr..........sasa kudhihirisha kuna Mungu Wa kweli, ambaye dola na madaraka haviwezi kumfikia, Mh.Lissu yu hai, ataendelea kuwa hai mpaka amalize kazi aliyotumwa na Watanzania, Mungu aliye juu ndio atakayeamua hatima ya maisha yake, sio yoyote chini ya jua hili..........ROHO MTAKATIFU YUPO KWENYE VIUNGA VYA HOSPITAL ALIYOLAZWA MH LISSU, HAKIKA ATARUDI TZ AKIWA NA AFYA TELE.
 
Back
Top Bottom