As Ange Kagame joins us modelling industry Rwandan refugee woman has this request for her

As Ange Kagame joins us modelling industry Rwandan refugee woman has this request for her

Ha ha ha Mchambawima umenitupia jini au...nsubiri kibusha miye...lol
Mbona unahasira hivyo kaka...na ungejua mimi mwanamke hilo busha litakaa pande zipi?

Wasameheane? Nani na nani? Kijana chunga mdomo wako, kama ninacho hisi ndio unachomaanisha basi we subili, kibusha kiko njiani sijuwi na wewe utaweza kwenda Marekani kwa matibabu au vipi.
Hao jamaa wanakimavi kufa mtu, watu wameuwa mchana kweupe halafu waombane msamaha na walio wadhibiti? Mi naona bora waombane msamaha na nyie mlioshindwa kuwaambia wasimamishe ushenzi wakati wa maovu yao. Sisi tulishawaambia wauwaji wa kikabila hawana cha kutufundisha bali kututega sikio, kwisha!
 
Hapo ndio nazidi kuwahurumia...badala ya ku solve tatizo la chuki baina yenu mnatafuta mchawi...haya bana mimi muhutu...lakini msije kuomba hifadhi Tz mkiaza kuchinjana upya...sasa huu uzi umewatukana wapi au umewaambiaa ukweli msiotaka kuusikia??????????????

Lakini baada ya kusoma huu uzi nimewasamehe bure...woote mnajua kipi ni bora lakini nani wa kum face PK kama si Ange? wote mnamwogopa....wote mnaogopa kusema ukweli japo mnaujua
Jihurumie wewe kwanza with your fake azz na umsamehe nani for what? hizo imaginary story zenu wapelekee haters wenzako wakupe likes..interahamwe must be defeated and they will.
 
Jihurumie wewe kwanza with your fake azz na umsamehe nani for what? hizo imaginary story zenu wapelekee haters wenzako wakupe likes..interahamwe must be defeated and they will.

Ha ha ha ha...haya bana...na mzidi kumuombea uhai PK aishi miaka 110...else mtaishi maisha ya kuwindana

Lakini naona barua imewaingia...I can read kwa jinsi mnavyo react...

Hope Ange ataichukulia kwa uzito huo huo....

She is the last hope kwa amani yenu...maana nyie mlo baki ni kina 'ndio mzee'
 
Lakini hatima ya haya mambo yote ni nini maana kama hamna maridhiano ndio utaona wataendelea sana kuwazingua. Mimi naona kwa jinsi moja au nyingine lazima mfike sehemu na kuwakaribisha nyumbani hawa akina jMali wahusike katika ujenzi wa nchi. Bure hawatachoka kila uchao kutafuta mbinu ya kuangusha nchi.

Hivi unanielewa au vipi? Nshakuambia ukiacha kina jMali na wenzake, waliopata bahati ya kurudi kwao hivi wako wanaendelea na shughuli za kuiendeleza nchi yao, hata wale waliokuja na damu mikononi waliomba misamaha na kusamehewa hivi wako wanasaidizana na wengine kuiendeleza ncchi yao na hatukuishia hapo, tume introduce program ya "come and see" tena tunawapa na nauli(hebu fikilia huo uwanadamu) kusudi hata hao walioshindikana waje wajionee watu waliowatoroka kule maporini walivyopiga hatua(mtu kwao).
Hao kina jMali walioshindikana basi watafia huko huko au waje kwa njia wazijuazo, mnawatega masikio mnafikiri ni watu wakawaida? Wanajuwa kwao hivi kumekucha lakini wanaona soo mambo waliyowafanyia majirani zao! Hawana lolote na kama wanasubiri kutegwa masikio na Rwanda basi watasubili mpaka miguu iingie tumboni.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Mchambawima umenitupia jini au...nsubiri kibusha miye...lol
Mbona unahasira hivyo kaka...na ungejua mimi mwanamke hilo busha litakaa pande zipi?

hawa watu wana chuki mpaka saa zingine badala ya kuudhika nawaonea huruma. Hawawezi kuwa sawa sawa na chuki za namna hii moyoni.
 
Ha ha ha Mchambawima umenitupia jini au...nsubiri kibusha miye...lol
Mbona unahasira hivyo kaka...na ungejua mimi mwanamke hilo busha litakaa pande zipi?


Basi labda tezi jike lol! Kwa maana hao jamaa kimavi chao kimeathili wanaume sana sana(Francois mitterand, Mobutu, Kabila mzee na ...) bado hajatokea mwanamke anaye wasupport na ninafikiri inatokana na roho ya upendo waliyobarikiwa wakina mama, kutokana na hivyo basi nakusihi hata wewe kama wamefanikiwa kukufunga kamba basi wageuzie ubao, hao sio watu kabisa, wanajulikana kimataifa.
Siunajuwa tena wanaume tulivyo na roho ngumu(pesa mbele) ndio maana unakuta wengine wanakuwa rahisi kununuliwa na hao wachawi.
 
hawa watu wana chuki mpaka saa zingine badala ya kuudhika nawaonea huruma. Hawawezi kuwa sawa sawa na chuki za namna hii moyoni.
Eh eh eh... Ya leo kali! Mi nshakuambia zile tactics zenu hazijabadilika tu? Unaenda kuiba ukifukuzwa ukifika mbele ukaona kabakia mmoja basi unamgeuzia ubao eti yeye ndio mwizi! Hizi wewe jMali unaweza kumpakazia mtu chuki? Hebu soma uzi zako zote kitovu ni chuki tu.
Ila hongera ndugu yangu! Naona unaanza kupona yaani unaandika mistari inayozidi miwili bila kutia ukabila wala ukanda, kweli subira uvuta kheri.
 
Humu Marekani, tumeuana tangu mwanzo wa nchi yetu kuhusu siasa, mali, ukabila, n.k. Hata hivyo, tumaini letu laendelea watotoni. eti vijanani. Ni walewale watakaoponya Rwanda.
 
Nimeisoma yote, the NY girl is smart but PK is super unsmart


International forum itakuwa haina maana kama habari za Rwanda zitakosekana. Kama rais wa Rwanda na serikali yake ni mtambo wa habari 'mbofumbofu' kwanini zisininginie kwenye international forum ya 'great thinkers' wazifanyie uchambuzi? jMali endelea kushusha vitu mwayego!
 
na mimi nilikuwa najiuliza hivyo hivyo...kuna watu nahisi wamesoma kichwa cha habari halafu waka-conclude vichwani mwao bila kusoma, vinginevyo nahisi labda kingereza ndio shida hapa, sijaona chochote kibaya kwenye stori ya huyu dada.

We interahamwe..wenye akili wanaangalia source tu and we know the garbage that is in it.

1. What is the name of the girl? Hakuna

2. Whats the name of the lady that "saved"her? Hakuna

3. Since there is no answer, then great thinkers call this type of article FICTION.

COMPRENDE? Interahamwe?
 
We interahamwe..wenye akili wanaangalia source tu and we know the garbage that is in it.
1. What is the name of the girl? Hakuna

2. Whats the name of the lady that "saved"her? Hakuna

3. Since there is no answer, then great thinkers call this type of article FICTION.

COMPRENDE? Interahamwe?


Murutongore you are right!!! the same garbage have been written over and over trying to get some sympathy from civilised folks! The only difference I see in it; is the way it is directed to a poor lady whose father saw, fought back and exposed their evil acts to the world! Shame on them indeed. Cc jMali
 
Another lengthy piece of ---- from an extremist hutu fed hatred by her parents. Her article is full of hate and divisionism, calling people black, yellow, red etc. She can't even write properly. Apologist, revisionist beyouuutch!
 
Hivi nyie mnafikiri kila Tutsi ni PRF or pro-Kagame? Acheni propaganda za kitoto na hadithi zenu za kutunga hapa. Eti mkatupia na kapicha ka refugee kunogesha hadithi yenu. I almost felt pity myself, hehehe. Luckily I know your ways you genocidaire. Tulishawasoma muda mrefu sana. Huyo author kama kweli amekulia America akiwa mdogo angekuwa anaandika kiingereza as a native speaker. Lakini ukisoma between the lines utaona anaandika kana kwamba anafikiria kinyarwanda na kujenga sentenso kwa kiingereza. A native english speaker would never jot gibberish like that down, never. Huyu ni extremist hutu jamii moja na jmali. Hawa wote ni vizazi vya genge la Habyarimana ambao wanafanya kila njia kumchafua Kagame. Nyie mnaobwabwaja humu nawaambia nendeni Rwanda muone nchi inavyoendeshwa kwa ufanisi ndio mrudi kuja kuongea humu JF. Msiandike vitu kwa ushabiki na chuki za kuiga.
 
Back
Top Bottom