Sababu kubwa inayofanya kuendelea kuwepo kwa VVU miongoni mwetu ni ARVs. ARVs humpa nguvu mgonjwa na kumfanya asioneshe dalili za ugonjwa kwa hali hii anakuwa ni hatari kwa asiye mgonjwa.
Kutokana na kupata nguvu na afya nzuri ARVs humuwezesha mgonjwa kuishi muda mrefu na kuambukiza mamia ya watu kabla ya kutoweka na VVU.
ARVs humfanya mgonjwa wa kike kutembea uchi na kuamsha hisia za wasio wagonjwa ili awaambukize kwa makusudi. Wagonjwa wa kiume nao hutumia fedha nyingi kuwashawishi mabinti na wake za watu na kuwaambukiza VVU.
Idadi ya wathirika ingekuwa ndogo sana kama ARVs zisingekuwepo.
Hata hao waliotuambukiza walitumia ARVs wakapata afya na nguvu za kutuambukiza sisi, kama sivyo wangetoweka haraka na
Mgonjwa anapotumia ARVs hupunguza kwa kiasi kikubwa wingi wa VVU mwilini (viral load) hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza mwenziwe au mtu mwingine.Ndio sababu inashauriwa kuwa wapenzi wawili kama mmoja in positive na mwingine ni negative (doscondant couples) ambaye ni positive aanze kutumia ARVs regardless ya CD4,Hii itapunguza maambukizi.Kwa hiyo kinyume na mawazo yako ARVs zinatumika pia kuzuia maambukizi.

By the way ukitaka usiambukizwe mbona ni rahisi tu. Usifanye mapenzi au uwe na mpenzi muaminifu ambaye mnapima kila week.
By the way ukitaka usiambukizwe mbona ni rahisi tu. Usifanye mapenzi au uwe na mpenzi muaminifu ambaye mnapima kila week.
kila week?????? tuseme kila jumatatu?????? ngumu