Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
-
- #61
Hizi ngonjera zinaashiria malavidavi ya Arushaone kwa Lady doctor kushne.....no wonder lady d anajipendekeza.
Mmmmmhhhh mbona unam cheat?
kwanza hongera best Lady doctor kwa kudumu na sweet inlaw wangu Arushaone ,....mana ndoa yenu inasakamwaa!!!
we acha tu,ukisikia vituko uswaz ndo hivi,eti i love you huku Vin Diesel anamnawa,kha!
hahahaaa...... Utachonga sana juu yetu! Muone kwanza!
Ahsante love.
inasakamwa na nani?
ni matatizo ya kuuza zaabu feki ukalipwa dola feki,ngoja niingie zangu citibank nika draw mihela ya kumpeleka The secretary dubai
Lady doctor atazirai na hivi alivyo na wivu nasikia Arushaone anammendea Juliana shonzani matatizo ya kuuza zaabu feki ukalipwa dola feki,ngoja niingie zangu citibank nika draw mihela ya kumpeleka The secretary dubai
Niko hapa mpenzi wangu The secretary,namshangaa Lady doctor anavyojishebedua kwa chalii muuza mirungi,sijui kakosa nini kwa Vin Diesel.
Jibu pm yangu kwanza ndo urudi hapa.....halafu wewe!
Arabela kwani ulikuwa hujui? Si ndo mana Lady doctor anataka kumtua,we fikiria mwanaume unampa kila kitu lakini yeye miaka mitanonhajawahi hata kukunulia kyupi?
The secretary si nilimuona tandale jana akiuza gongo uko Dubai kaenda lini, acha kutupiga fix aisee
hahahaha! Heaven on earth best, umeamua uanzishe yako! Lol
*** thread imefungwa asikomenti mtu yeyote humu***
Arushaone ana taarifa ya hizo PM mnazotumiana........hahahaaa....... Nitakujibu baadae bana ngoja kwanza nikutoe uvivu!