Nani kakuruhusu kwenda white party? Na unaenda na nana?
Watu wa Dar km ni kweli huyu mtu aja uko, chungeni tamtam zenu. Ni MSUWATI wa II huyo.
kwanini jaman
Arabela nitakuja na marejesho atakayekuwa guide kwa kina Young Master Mr Rocky Vin Diesel St. Paka Mweusi Asprin Erickb52 Mzee wa Rula Katavi Husninyo na tutampitia Don Mangi pale Moshi.
Mipango mingine inauma
Umeona eee, twafanyaje sasa?
poa tu Filipo.. Hujambo? Welcome jaman
itabidi tubadili plan
Mkinificha plan b, nitatuma intelijensia! Nitajua tu!