Baada ya kukaa kama kamati mimi na
Arabela leo tumemruhusu
Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali
Blaki Womani.
Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from everything na mwepesi mno.
@Blaki Woman hakikisha menu ya mzee inakuwa na varieties zenye carbohydrates na protein zaidi.
Arushaone tunakushukuru sana sana kwa company yako hatukuchoka ila tumemuonea huruma mke halali na malalamiko ya
Filipo.
Shukurani za dhati kwa wana Arusha woote kwa kukubali kumwacha MSUWATI Tanga hadi tulivyomruhusu leo.
Arabela karibu kwa kuongezea, uwanja ni wako nyumba ndogo mwenzangu.
Kazi tumeifanya.
Habari hizi ziwafikie
PakaJimmy,
Preta, @ Filipo,
werawera,
Lily Flower,
marejesho, nyumba ndogo mwenzetu
Madame B, Tanga crew pamoja na corabo ya dar