David Serikali
Member
- Mar 2, 2012
- 57
- 17
Mkoa wa Arusha waripotiwa kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya raia wanaomiliki silaha aina ya Bastola. Mkoa huo ulio moja ya mikoa ya pembezoni mwa Nchi yaripotiwa kuwa na matukio ya kutishiana bastola hadharani na sehemu za mikusanyiko ya watu.
CHANZO: Mwananchi.
Acha wivu kama haujamiliki yako haujipendi..Maminer bila hii kitu hatujiamini ni kama swala mbuganiMkoa wa Arusha waripotiwa kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya raia wanaomiliki silaha aina ya Bastola. Mkoa huo ulio moja ya mikoa ya pembezoni mwa Nchi yaripotiwa kuwa na matukio ya kutishiana bastola hadharani na sehemu za mikusanyiko ya watu.
CHANZO: Mwananchi.
Hii ni kweli nakumbuka mwaka mpya saa sita usiku kila nyumba nilisikia mlio wa chuma nikagundua watu wa A ni makini sana katika eneo la usalama.