Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Vijana wawili wa jamii ya kimasai Mkoani Arusha wamepigwa faini ya Dume moja badala ya kuchapwa fimbo 70 baada ya kumkashifu Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika eneo la kata ya Elerai Mkoani Arusha.
Akizungumza katika Mkutano wa Mila ulioitishwa ili kulaani kitendo hicho Kiongozi wa Mila Tanzania Isack Elikisongo amesema kuwa wameitana ili kuonyana kutokana na vitendo vya vijana hao kumtukana Rais.
Chanzo: Kusaga TV