Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Nimefuatilia yanayoendelea hapo Arusha mkutano wa EL. kweli wengi hawachangamkii hotuba. Mwishono baada ya EL kumaliza inabidi kina Gwajima na Ngombale waokoe jahazi. Angalau jukwaa kuu linaitikia kidogo. Ni nje ya mategemeo yangu pamoja na mabilioni yote yaliyotumika kuandaa. Kazi ipo.
Helikopta zinatimulia watu vumbi. Ngombale kageuka msemaji mkuu. Anawasemea Wagombea wengine.We unaangalia tv gan?? Au umeamua kuufumbia macho ukweli tu
Helikopta zinatimulia watu vumbi. Ngombale kageuka msemaji mkuu. Anawasemea Wagombea wengine.
Umati UNAZOZO TU wakati hotuba zinaendelea.
Leo lawasa kashindwa kuongea kama tulivyotarajia ,kashindwa hata kuzingatia itifaki hivi kweli ataweza kampeini?.
Leo lawasa kashindwa kuongea kama tulivyotarajia ,kashindwa hata kuzingatia itifaki hivi kweli ataweza kampeini?.
Ni fujo tu hakuna itifaki hapo. Mgeni mkuu ameshakaa huku kada anashusha copta ndani ya halaiki.? Ona EL anageuka MC kwa kuchukua mafasi ya Kibonde. Jukwaa kuu limechafuka wageni wananyanyuka baada ya KNg kuwaboa. Kina Rita Mlaki na Tibaijuka wananyanyuka bila utaratibu kupata nafasi ya Luninga.Zimetimua kwa masaa mangapi?? Ile kutua tu na kuondoka mmeshaanza kuona ni tatizo.
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.
Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa
Hotuba yake laini laini mnoo
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.
Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa
....yaaani idadi ya wakiofika toka kila kona ya nchi haizidi hata mkutano mmoja wa Godbless Lema ambao anaweza kuuandaa kwa siku moja na nyomi ikawa kubwa kuliko hii, kwa mtazamo wangu investment ya lowasa is not equivalent to the number of people ...
Mkuu hebu weka full text hotuba ya safari ya huzuni huko A Town. Nilikuwa busy shambani Mkuu!