Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,855
Reaction score
19,566
Mnafikiri kama watoto. nchi ambayo Haina umeme , deni limefika tri. 90 makonda atabadili Nini kwa wananchi
Weka huo ushahidi wa Deni la Trilioni 90.au ndio umeshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa kabla mwamba mwenyewe hajakanyaga katika ardhi ya Aro.wewe kama ulikuwa unavuta mibangi kama kichaa ni bora ukaacha mapemaaa sana au uhame kabisa mkoa ,maana kwa sasa wavuta Bangi mwisho wao umefika.
 
Hivi Lema bado anajihusisha na hii biashara ya magari?
 
Akili za kiccm bana. hapo ulipo Hauna umeme, Hauna Maji, Hauna hela, uko bize kuandika iujinga, . Pumbavu

Nikuulize akiwa mwenezi huko alikopokewa kwa msururu wa magari 120 sasa hivi wamenufaika na Nini??
 
Eti naomba kuuliza. Hivi kumbe wapo watu wazembe ambao hawavumilii uzembe?
 
Arusha
####
Mpokeeni kwa kishindo, RC MPYA, adha zenu za muda mrefu zinakwenda kwisha na kuwa historia, za ngonjera changanyeni na kwenu,
"Arusha iwachane na uanaharakati wa kijinga iende kwenye maendeleo yanayofanania jiji la Arusha "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…