Arusha tutamtunuku Lema hasira zetu

Arusha tutamtunuku Lema hasira zetu

Wakuu

Arusha inasubiri kwa hamu siku ya kumchagua mbunge wetu atakayetufuta machozi yetu

Arusha tunaenda kupiga kura za hasira dhidi ya ccm kama tulivyowatandika bao 24-1

Tunamkubali sana Godbless kwa kuwa hana uoga na kwa jinsi uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa na NEC hakika tutalipiza kwa hasira dhidi ya Mollel Monaban.

Lema upate usingizi mnono tutakupa kura nyingi ARUSHA MJINI.

Noted. Ningeshangaa kama mngeacha kukipigia CHAgaDEMA, labda sio kaskazini niijuayo
 
Back
Top Bottom