Arusha tutamtunuku Lema hasira zetu

Arusha tutamtunuku Lema hasira zetu

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wakuu

Arusha inasubiri kwa hamu siku ya kumchagua mbunge wetu atakayetufuta machozi yetu

Arusha tunaenda kupiga kura za hasira dhidi ya ccm kama tulivyowatandika bao 24-1

Tunamkubali sana Godbless kwa kuwa hana uoga na kwa jinsi uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa na NEC hakika tutalipiza kwa hasira dhidi ya Mollel Monaban.

Lema upate usingizi mnono tutakupa kura nyingi ARUSHA MJINI.
 
Wapenda mabadiliko tusivunjike moyo. Tuna mengi ya kujivunia. Angalia ni halimashauri ngapi zitaongozwa na wapinzani. Kwa maana hiyo kuna nafasi ya kuonesha ubora wetu na hivyo kuonesha watz kwa vitendo nini tunawe za kufanya. Wito wangu kwa ukawa ni kuwa enzi wana mageuzi wote akina lowassa na sumaye na wengine wengi ili kutengeneza kesho njema. Roma haikufungwa kwa siku moja. Bandu Bandu humaliza gogo. Inshallah 2020 sio Mbali. Ukawa viva
 
Pimaaa
Safari ya matumaini
Safari ya matumain
Safari ya matumai
Safari ya matuma
Safari ya matum
Safari ya matu
Safari ya mat
Safari ya ma
Safari ya mab
Safari ya maba
Safari ya mabad
Safari ya mabadi
Safari ya mabadil
Safari ya mabadili
Safari ya mabadilik
Safari ya mabadiliko
Safari ya mabadilik
Safari ya mabadili
Safari ya mabadil
Safari ya mabadi
Safari ya mabad
Safari ya maba
Safari ya mab
Safari ya ma
Safari ya m
Safari ya mo
Safari ya mon
Safari ya mond
Safari ya mondu
Safari ya mondul
Safari ya monduli 🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃[/
 
Aluta continua...Tanzania inahitaji miji itakayokuwa models za mabadiliko..!
 
Wapenda mabadiliko tusivunjike moyo. Tuna mengi ya kujivunia. Angalia ni halimashauri ngapi zitaongozwa na wapinzani. Kwa maana hiyo kuna nafasi ya kuonesha ubora wetu na hivyo kuonesha watz kwa vitendo nini tunawe za kufanya. Wito wangu kwa ukawa ni kuwa enzi wana mageuzi wote akina lowassa na sumaye na wengine wengi ili kutengeneza kesho njema. Roma haikufungwa kwa siku moja. Bandu Bandu humaliza gogo. Inshallah 2020 sio Mbali. Ukawa viva
Na muandamane kabisaaaaaaaa!
 
Wakuu

Arusha inasubiri kwa hamu siku ya kumchagua mbunge wetu atakayetufuta machozi yetu

Arusha tunaenda kupiga kura za hasira dhidi ya ccm kama tulivyowatandika bao 24-1

Tunamkubali sana Godbless kwa kuwa hana uoga na kwa jinsi uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa na NEC hakika tutalipiza kwa hasira dhidi ya Mollel Monaban.

Lema upate usingizi mnono tutakupa kura nyingi ARUSHA MJINI.

Lema ndio kakuagiza sio...Mwambie tutamchagua ila wana arusha hatuitaji zle siasa zake za kitoto za " maigizo" tunaitaji Mabadilikooooo ya kweli sio yale alioyafanya
miaka mitano iliyopita
 
Naona kamanda wewe ndio msemaji wana arusha. Bty pole sana kwa kipigo hiki.
 
Wakuu

Arusha inasubiri kwa hamu siku ya kumchagua mbunge wetu atakayetufuta machozi yetu

Arusha tunaenda kupiga kura za hasira dhidi ya ccm kama tulivyowatandika bao 24-1

Tunamkubali sana Godbless kwa kuwa hana uoga na kwa jinsi uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa na NEC hakika tutalipiza kwa hasira dhidi ya Mollel Monaban.

Lema upate usingizi mnono tutakupa kura nyingi ARUSHA MJINI.

Sawa tumewasikia wanamabadiliko futeni machozi
 
Lema ndio kakuagiza sio...Mwambie tutamchagua ila wana arusha hatuitaji zle siasa zake za kitoto za " maigizo" tunaitaji Mabadilikooooo ya kweli sio yale alioyafanya
miaka mitano iliyopita

Ww ni gamba na unaamini hamna namna lazima Lema apite hivyo unaongea kwa hasira
 
Chuki yangu kwa CCM imeongezeka sana baada ya ujambazi huu wa NECCCM.
 
Watanzania tulio wengi tuna jua kaskazini mnayenu lkn ndio hivyo tena Maan ni watu wenye tamaa sn watu WA pande hizo.
 
2020 tunarudisha majimbo yote mikononi,tundu lissu,mdee,msigwa,sugu mjiandae kung'oka.
 
Back
Top Bottom