radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,428
- 32,206
Itafika sehemu watanzania wote tutakuwa tunafanya kazi kwa ajili ya manufaa ya umma,siyo kwel tu ccm ndo wameifikisha nchi hapa ilipo pia hata chama kingine kingetupeleka hukuhuku au zaidi ya huku maana kinacho wakimbiza kwenye vyama ni njaa na maslahi binafsi ya kitumbo zaidi.Tanzania hii ilimuitaji MTU mwenye nia na watanzania siyo na ikulu!rais Mgufuli ndo Wa pekee ataifikisha Tanzania sehemu sasa tumpe muda tumsupport tusimpinge Rais Tumuache afanye kazi.Waacheni watanzania wamuamini rais wafanye kazi.Arusha jicho la serikali limeshaona litafanya kazi yake.
Akipunguza ubaguzi anaweza kufanya kazi ila akiendelea na hizi mambo ataandika rekod ya hovyo mapema sana.