Arusha na silaha

juzi tu nimemiliki na jana kalikatiza kapanya nikakaopa ya kiuno ...nilikuwa natest
 
Mi nasema daily nina ak 47 niliitoa Kenya eneo la Turkana kwa wafugaji anayeitaka ani pm na nipo moshono! Nau nafanya process za kumiliki Glock 19 kihalali! Period!!
 
Ni ajabu sana kwani kila kijana anaejitahidi kimaisha ananunua silaha arusha.Hata wale wanaojiita wanaapollo wana silaha sasa mwaka ukipita hajapata Tanzaniate wanatumia silaha kuvamia na kuiba.
I don`t buy the idea kwamba kuwa na silaha ni maendeleo.......
 

Sasa hivi sio wanaapolo tu , hata watu wenye kipato cha kawaida wanakimbilia kununua silaha . Huu mji ni majanga.
 
Nafikiri ni muda muafaka sasa serikali kuchukua hatua ili kudhibiti na kuhakiki silaha zilipo mikononi mwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…