trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Watu kama hawa bana....ili mradi tu wote tujue na yeye anayo na anafahamiana na watoto wa vigogo...sisi hatutaki kujua yote hayo..hoja ni kwamba kwanini arusha umiliki wa silaha umekubuhu
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.
Uwe na akili timamu.
ni mimi hapa
duh hii ni balaa mkuu . Hutapewa kibali chake kamwe.
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.
Nondo zinatumika kwa imani za kishirikina mkuu...sio kama mbinu za kujihami,isitoshe matukio kama hayo wahusika si wenyeji wa Mbeya zaidi si Watanzania
Mwenzetu unakumbuka ulabu tu?utakunywa bia ndani ya kifaru?
Duh! JF mnamambo!View attachment 47844 View attachment 47845
Tabora ndo kiboko, hadi mwakilishi wetu anaiweka kinoma noma kabisa. Au hamkuona mfano?