Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
magufuli hakuwa onekana bungeni akipambana na mafisadi kama olesendeka. tatizo letu ni mafisadi! mheshimiwa alishasema aeakamatiki na akaomba waludishe pesa!!. tunataka mtu atakae wavalisha mafisadi kabtura mtaani anaweza? timu yake imewashindwa. ila timu ya ukawa ndio inamachungu na mafisadi adi mate yanawamwagika! timu ukawa yote ndio inawaweza na wao wanajua. ukawa ndio abali ya jiji. na taifa.
Naomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka CCM hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema Lowassa na wakifanikiwa kumtema Membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya CCM watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini CCM watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.
Lowasa hatathubutu kuhama chama maana atapelekewa bill ya kodi ya michango yoote aliyopokea kutoka kwa marafiki zake (Kumbuka waliopata hela ya escrow walidaiwa kodi). Pili, Mawaziri wakuu wanaotakiwa kupata marupurupu ya kustaafu ni wale waliostaafu na sii waliojiuzulu. Lowasa alijiuzulu na si alistaafu. Kama atathubutu kuingia chama kingine haya marupurupu yatakatwa.
Sababu nyingine ni kuwa Watanzania ni wepesi kusahau. Baada ya wiki moja utasikia wale wale waliokuwa kindaki ndaki team lowasa watakuwa kindaki ndaki wa mgombea atakayeteuliwa na jina Lowasa litakuwa limefutika midomoni mwao.
Kwa maamuzi haya ya CCM utashangaa upinzani tusipokuwa makini tutapoteza hata baadhi ya majimbo tulonayo.
Acheni ubaguzi wenu wa ukanda mbona kina Mwakyembe, Prof Mwandosya wamekatwa pia hamna waliolalamika kuwa kanda yao inabaguliwa.
Kuna makabila yana haki ya kulalamika yanatengwa lakini siyo nyinyi wa kaskazini idara zote za serikali, mashirika ya umma, wizara nyingi tu mmejazana huko bado mnalalamika daah!!.
Ndiyo maaana mnataka kuanzisha taifa lenu la kaskazini mlivyokuwa wabaguzi.
Mawaziri wakuu wangapi wametoka kaskazini au nyie mnataka rais tu.
Magufuli anafaa na miongoni mwa wachapakaz ndan ya serikali wakimchukia huyo ntawaita moja kwa moja wabinafsi labda wapitishe hao wake zao! akipita magufuli mechi itakuwa tamu sana ya slaa na magufuli kwan haitotabilika
Hayo ni mawazo ya kujidanganya,ccm mmesha buuugi sana
Acheni ubaguzi wenu wa ukanda mbona kina Mwakyembe, Prof Mwandosya wamekatwa pia hamna waliolalamika kuwa kanda yao inabaguliwa.
Kuna makabila yana haki ya kulalamika yanatengwa lakini siyo nyinyi wa kaskazini idara zote za serikali, mashirika ya umma, wizara nyingi tu mmejazana huko bado mnalalamika daah!!.
Ndiyo maaana mnataka kuanzisha taifa lenu la kaskazini mlivyokuwa wabaguzi.
Mawaziri wakuu wangapi wametoka kaskazini au nyie mnataka rais tu.
Sawa si dume? si tunachotaka ni kaz tu👳👍✌ hata ww hatukujui tabia zako anazijua munguHuyo Magufuli naona vimada wataongezeka safari hii na watajengewa maghorofa kulikot yule wa awali.
kwa pigo hili sidhani kama ccm ina kitu imebakiza arusha na kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya ukawa moja kwa moja.
Halafu hao mawaziri wakuu walotoka huko wooote wamevuruga tu, wana maekari ya kutosha tu, tanzanite inapatikana kwao lkn nchi fulan ndio inaongoza kwa kuiuza km hilo tu mmeshindwa kusimamia ndio tuwape nchi thubutu, kifupi hamwezi kuongoza nenden rombo kwanza mtulize kashfa ya pombe haramu ndio mje tuongee
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Wakati watu wanaongelea Rais wa Tanzania, rais msafi mwenye uwezo wa kukemea rushwa wao wanaongea rais wa kaskazini bila kujali hata kama ni mla rushwa, this is too low!
Mkuu umemiumiza tena kidonda kilichotaka kupona, hakika nimemchukia Kikwete sana, ni mnafiki asiye na hata chembe ya aibu.Bora hata angempitisha kwenye tano bora...ila kwa kujua kwakwe Lowassa anakubalika ikabidi amchinjie baharini.
Hata hivyo nimemkubali sana mwanaume Lowassa kwa ujasiri wake, laiti ningekua mimi nisingeweza kujongea meza kuu kwa dhuluma ile.
Hiyo kauli unayosema ndiyo kauli ya chama? Ngoja nikukumbushe Nassari alivyosema Chadema wataanzisha taifa la kaskazini huo ndiyo msimamo wa Chadema?Mtoto wa raisi ndugu Ridhiwan kupitia umoja wao wa vijana UVCCM walishatoa tamko na juzi nae kalirudia kwa uwazi dhahiri bila kificho kuwa "Raisi wa nchi hii hatatoka kaskazini". Kauli hii pamoja na zilizotangulia ni nani ktk CCM alizikemea kaa dhati mkuu ?.
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Hii ndo tabia ya watu wa Kaskazini.Hata wale tuliokuwa nao opp.walishatuhama na kwenda kwa Lowasa.Nafuu amepgwa chini vingnevyo Dr angepata wakati mgumu huko Kaskaz.Lakn hii tabia ni mbaya sana na tuelewa kuwa hali hii ikiendelea, itawafanya tukose hata kwingne.Karibu 35% ya Watz wanapatikana kanda ya ziwa.Chadema kwa mfano tuna wabunge wengi kanda ya ziwa kuliko hata huko Kaskaz.
Ndio unaliona hilo leo?basi umechelewa na imekula kwenu