Arusha na CCM


Mkuu ivi hujui kule ni kichwani
 

Aliye watu wote wa kaskazini ni chadema ni nani.
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.

Sababu ni zipi au ipi? Cz Lowassa kama wagombea wengine ameshindwa, plus hata kilimanjaro na arusha wasipotoa kura, kanda ya ziwa inakura za kutosha na kanda zingine. Acheni uchoyo na ubinafsi
 

Umenifanya nifikiri Mara 2
Hivi kwanini rais hajawahi toka huko?
 
nakubaliana na wewe kwa kumkumbuka marehemu kenyata alimwambia nyerere :" mimi natawala wagonjwa kuna siku watapowa wataleta shida wewe unatawala vipofu hawataona maisha" imethibitika inauma lakini ndio ukweli .

Kila kitu kina mwisho!
Mungu si mwanadamu!..
Subiri uone
 

Wambie ndugu zako coz wamezidi uchoyo na ubinafsi..
 
Huu ndio unaitwa ukanda a.k.a ukabila.

Hii ndo tabia ya watu wa Kaskazini.Hata wale tuliokuwa nao opp.walishatuhama na kwenda kwa Lowasa.Nafuu amepgwa chini vingnevyo Dr angepata wakati mgumu huko Kaskaz.Lakn hii tabia ni mbaya sana na tuelewa kuwa hali hii ikiendelea, itawafanya tukose hata kwingne.Karibu 35% ya Watz wanapatikana kanda ya ziwa.Chadema kwa mfano tuna wabunge wengi kanda ya ziwa kuliko hata huko Kaskaz.
 
Futa kabisa ccm arusha na Kilimanjaro.
 

Mkuu
WaTz wakusikiliza Sera wakowapi?

Bado Sana!.
I'm sure ni wachache sn wanaopiga kura eti kwasbb kasikiliza sera za mgombea
 
Aliye watu wote wa kaskazini ni chadema ni nani.

Labda uniweke sawa, mkuu huyu mleta uzi kasema ccm kwa kumkata Lowasa haina chake kaskazini labda wakatoe bendera zao eti kisa hawajawahi kuwa na Rais mkaskazini! ndio nikasema hawa chadema iweje leo wanamlilia Lowasa kwa ukaskazini tu?!! wanadai ingekuwa zamu yao ninawashauri ndani ya chadema wanao wagombea wengi wa kaskazini wawachgue kiukabila waone kama watatosha kwa kura za Arusha na Kilimanjaro kupata rais wa tz.
 
Magufuli atatakiwa kusaidiwa kuirejesha CCM katika umoja, maana naye ana changamoto ya 'unifying' katika matendo na kauli yake!
 
Umenifanya nifikiri Mara 2
Hivi kwanini rais hajawahi toka huko?

Poor reasoning.Mgombea wa Ukawa ni Slaa, anaweza shinda na anatokea North.Vp Rais amewahi toka Kanda ya kati,Magharibi ama nyanda za juu Kusini?Kwa nini haukuwahi kujiuliza Kanda ya Mashariki na Pwanı wameshatoka almost marais3 lakn ndo wako nyuma kimaendeleo?Lowasa pia amekatwa sio kwa sbbu ya ukasikaz wake bali uharamia, kashfa,Faulu kwenye mchakato,kutokuonekana kuchukia rushwa,uhafifu wa maono,watu wanaompigania kutokuaminika n.k.Lowasa anaweza kata kipande cha nchi na kukiuza alimradi apate hela tu!
 
Njaare umeongea vzr sana.Hata huyo anayesemwa kupita inasemekana ni chaguo la baraza la wazee.kuna hali flan ya yale makundi makubwa kupotea na wote kuwa kitu kimoja
 
Kama bado kuna mtu wa Kaskazini bado yupo Ccm basi akapimwe AKIRI sio mzima.Ubaguzi wa Ccm kuwabagua watu hao umeonekana.Uvccm pwani walisema Rais hawezi toka Kaskazini kupitia ccm

AKIRI means to support, Tumia neno AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…