Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 341
Wakuu,
Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.
Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Wakisha announce hiyo Curfew waweke na Raod Block kila kona...Curfew!
Cc Nyani Ngabu
Kuna aina ya watu wakipata madaraka mtawakoma!..wanaopenda kujionesha na sifaHii ni reflection ya jinsi gani taifa letu kupitia awamu ya tano limeingiliwa na aina ya watu primitive ambao bahati mbaya wamepewa madaraka.
Kimsingi tunarudi nyuma kwa kasi ya hali ya juu mno. Hawa watu upeo wao hauzidi urefu wa pua zao.