Arusha, Mwanza, Mbeya: CCM itatueleza damu ikimwagika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha, Mwanza, Mbeya: CCM itatueleza damu ikimwagika.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bigirita, Nov 1, 2010.

 1. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Kuchelewesha kutangaza matokeo katika mikoa hiyo ni dalili za wazi kuwa CCM wanataka kuchakachua. Wananchi wamepata hasira sana mpaka sasa, wanaonekana wapo tayari kwa lolote, iwapo FFU wanakuwafukuza au kuwapiga mabomu ya machozi, yatakayotokea baada ya hapo CCM itawabidi watoe maelezo kwa watanzania na jumuiya wahisani wa kimaendeleo.
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,465
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Na damu ikimwagika itakuwa juu ya NEC pamoja na Serikali nzima ya JK!!!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Inanisikitisha sana. Baada ya uchaguzi, nitaweka position yangu against CCM wazi. Haijalishi watashinda au hawatashinda.
   
Loading...