THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,860
- 15,219
Umeona madhara yake?? Ukitaka Bifu na mimi unadharaulika na kila anaekuheshimu, So,what do you want?let me hear..Mkuu Sizinga hebu niache na huyu jamaa kwanza
Sure, you are not here to impress anyone, but atleast you can think of your dignity, boasting around that you have some dirty pics of an MP shouldnt have been your idea of fun, I am dreadfully sorry to learn that you are proud of such a stupid thing, shame up on your face you uncultured mug!!.Ulinipa heshima yako kwa kupigania rasilimali,nilikuomba heshima yako??i don know you,you don know me,you can take heshima yako, Mi siko hapa kukuimpress wewe au yyte yule,unapoteza time yako tuh
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona
Acha utoto hizo picha wewe zitakusaidia nini.?
Wewe umeshaambiwa picha za kudhalilisha........ basi elewa hivyo hivyo!!
Kwa nini lakini! we umeziona? kwa nini tunauzia mbuzi kwenye gunia? vinginevyo hiyo mijadala ifungwe hapa JF,Mnapoendelea kujadili hewa haina maana kabisa! kama hazipo basi hakuna ya kujadili issue za picha kama zilikuwepo an zipo tuzione ili tujadili kama ni za kudhalilisha basi! nani anadhibitha kuwa ni mbaya,na kumbuka kuwa ubaya wa hizo picha pengine uko kwa mtazamaji.
Unataka udhihitisho gani ikiwa Lema mwenyewe amekiri mbele ya mkutano wa hadhara kuwa kweli hizo picha zipo.!
Na mkewe amedhibitisha kuwa alitumiwa kwenye WhatsApp...
Hivi hizi picha zinazodaiwa kuwa ni za kugushi au halisi ziko wap? naomba link
nataka kujua kama mbunge wangu anadhalilishwa au ni kweli!
Naomba wachangiaji mjikite kunisaidia kujua ziliko! ili tujue pumba na mchele,haiwezekani tujadili kitu hewani.
Jf ni kila kitu bwana! tunataka picha
Hivi hizi picha zinazodaiwa kuwa ni za kugushi au halisi ziko wap? naomba link
nataka kujua kama mbunge wangu anadhalilishwa au ni kweli!
Naomba wachangiaji mjikite kunisaidia kujua ziliko! ili tujue pumba na mchele,haiwezekani tujadili kitu hewani.
Jf ni kila kitu bwana! tunataka picha
Azirushe humu ili iweje? Waambie daily news wakupe link ya hayo mapicha
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona
Isikute mh kweli amevunwa ,maana Arusha hakutabiri kabisa.