Arusha Modern School Is It Best in Arusha?

Unaulizia shule ya sekondari ama primary? Vipi shule ya Arusha School (primary) pale mjini. Nasikia ni nzuri au ilikuwa zamani?
 
ningekushauri kati ya st Patrick,Green valley, st Costantine na st Jude., Joyceline Arusha modern haufiki kisongo, pale bado ni sakina.

Sekondari iko Kisongo, primary sakina dada.:welcome:
 
Shule ya Arusha Modern ni wakati ilikuwa kwenye ubia na wale wahindi. Siku hizi hovyo kabisa. Ni shule ya Mchanganyiko iko pale kisongo. Watoto wameshaku spoiled kwa kiwango kikubwa. Mwanangu alisoma pale na ilibidi nimwondoe na kumpeleka shule nyingine. Perfomance yake sio nzuri kihivyo. Hayo maombi watu wanayoyasema sijui yameanza lini. Ila mwenye shule mwenyewe muislamu, maombi wapi na wapi.

Kuna shule nzuri kama Agape- Moshi, St Bendel- Moshi, St Constantine,st. Jude au nenda msimbazi center, Cathedral Moshi au St Theresa Pale Arusha watakupatia list ya shule za Kanisa
 

Ni kweli,

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2009 EXAMINATION RESULTS

S1178 ARUSHA MODERN SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 4 DIV-III = 13 DIV-IV = 32 FLD = 3
 
Hata matokeo ya kidato cha sita wana Div I moja tu 2010
 
Kuna shule pia inaitwa Precious Blood ni nzuri nayo ...ni branch ya kifungilo
 
kuna BRAEBURN na ISM Arusha campus , ni wewe mwenyewe tu.
 
nimekumbuka home ghafla aisee, ila hii shule ilitutesa kujenga hadi watu tulitaka kuzira kwenda kanisani! kila ukienda charch mchango wa kujenga shule. ila ni nzuri sana
 
Mnaposema ila ujianda mnamaanisha nini " KUTOA RUSHWA ILI KUPATA NAFASI AMA?":confused2:
 
Kuna shule pia inaitwa Precious Blood ni nzuri nayo ...ni branch ya kifungilo
Ni shule nzuri sana ipo karibu na makumira,pia Ailanga junior seminary ni nzuri sana iko mpakani na Arusha National park
 
ningekushauri kati ya st Patrick,Green valley, st Costantine na st Jude., Joyceline Arusha modern haufiki kisongo, pale bado ni sakina.

Nashauri usichangua shule niliyoweka red, kuna shule inaitwa Lack Vicent iko Mkabala na Field Force Unity (FFU) Mbauda kwa Mrombo pia kuna Shule inaitwa Intel School inamatokeo mazuri sana kuna mtoto wa ndugu yangu yuko hapo kiukweli matokeo yake yako vizuri sana.


About Intel Schools


  • ACADEMIC ACHIEVEMENTS:
  • Class 1V- National Exam for 2004, our School scored 2nd position (83%) among 184 schools in Arusha District.
  • Class 1V- National Exam for 2005, our School scored 9th position (87%) among 192 schools in Arusha District.
  • Class 1V- National Exam for 2006, our School scored 4th position (90%) among 192 schools in Arusha District.
  • Class 1V- National Exam for 2007, our School scored 2nd position (92%) among 194 schools in Arusha District.
  • Class V11- National Exam for 2007, our First School candidates passed all (100%) and were selected to join various Government Secondary Schools.


 

Attachments

  • Arusha.jpg
    55.2 KB · Views: 771

Modern school ipo sakina karibu na gorofa za maoficer wa police,hiyo modern ya kisongo cjui ni ipi mdau
 

Mdau pia kuna shule inaitwa Tengeru boys ni nzuri sn ila upatikanaji wake sasa inabidi mtt wko afaulu kiwango kikubwa na wtt ni wengi wanaofanya interview ingawa hujasema mtt wako ni jinsia gani.
 
Arusha modern wana shule mbili.ya primary iliyopi sakina na secondary iliyopo kisongo.ila zote zina maadilli ya dini ya kiislam.haswa wahindi ndo wengi pale.hata wamiliki ni wahindi ndugu.kitaaluma ipo vizuri maana hakunaga failiers
 
Yan broo hizo unazoambiwa st constatine ni international schools.wanatumia cambrige carriculum.ada yake sio chini ya dolla 6000 kwa term.na wanakuaga na term tatu per year
 

Hii Lucky Vincent na Intel nazijua vizuri ni shule bora na inayofanya vizuri katika mkoa wa Arusha mdogo wangu anasoma hapo so jaribu kumpeleka mwanao utafrahi
 
Hiyo yenye red unayoikataa matokeo yake ya promary 2015 ni :-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
PSLE 2015 EXAMINATION RESULTS

GREEN VALLEY PRIMARY SCHOOL - P0102039

WALIOFANYA MTIHANI : 95
WASTANI WA SHULE : 204.6842
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 4 kati ya 106
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 10 kati ya 603
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 180 kati ya 16096

Nakutafutia na ya Secondary
 
Arusha modern ilishauzwa kwa kanisa katoliki sasa sijui wewe umeipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…