Arusha kuwa mwanzo wa ukombozi wa nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha kuwa mwanzo wa ukombozi wa nchi hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Feb 28, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hali ya kisiasa katika halmashauri ya manispaa ya Arusha inazidi kuwa tete,baada ya madiwani wa chadema kuendelea na msimamo wao wa kutomtambua meya
  itakumbukwa tarehe 10 madiwani walisusia kikao kilichokuwa kiunde kamati za kudumu za halmashauri hata hivyo meya wa ccm waliendelea na uundwaji huo wa kamati hivyo wenyeviti wa kamati zote kuwa wa ccm,katika hali ya kushangaza kamati ziliundwa zikiwa na wajumbe watatu na kamati ingine wajumbe wanne,Jumamsi siku ambayo si ya kazi mwandishi wa halmashauri alianza kuwapigia simu madiwani wa chadema walioingizwa kwenye kamati ya mipango miji ambao ni NANYARO EPHATA,CHALES MPANDA,MALLE NA REHEMA,_
  habari za uhakika zinasema msimamo wa madiwani wa chadema ni kutohudhuria vikao vya kamati mbalimbali hadi dai lao la msingi lipatiwe ufumbuzi
  nawasiliasha
   
 2. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Aluta continyuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Msiwape hao vichwa maji mwanya wa kutaka kuwshirikishisha huo upuuzi wo, wanapanga huo uongozi kwa ajili ya kuwaongoza wananchi na siyo ccm wala chama chochote!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: wache huo ujinga aroooooo!
   
Loading...