Manka4change
Member
- Mar 20, 2013
- 21
- 0
Jamani mimi ni mkazi wa arusha mjini... Jamani ndugu za sijui mbunge wetu anamatatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do sumthing... Mimi naipenda sana chadema ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa arusha nichafu jamani.. Kama lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..
Join Date : 20th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Jamani mimi ni mkazi wa Arusha Mjini, Jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.
Mimi naipenda sana CHADEMA ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa Arusha ni chafu jamani.. Kama Lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on

jamani mimi ni mkazi wa arusha mjini, jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.
Mimi naipenda sana chadema ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa arusha ni chafu jamani.. Kama lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..
Mbunge hakwepi hili kwani kwa nafasi yake ni mjumbe ktk vikao vya baraza la madiwaniKAbla ya kumuuliza mbunge anafanya nini ungeuliza Halmashauri ya Jiji inayokusanya kodi kwenye lile soko hizo kodi zinaenda wapi na madiwani na Bwana Afya wa jiji wako wapi kuhakikisha kuwa soko linakuwa safi
Nini maana ya kukusanya kodi wakati hazifanyi kazi iliyokusudiwa maana kila mfanyabiashara wa lile soko anatoa ushuru kwa ajili ya masuala ya usafi
wameajiri vibarua ambao kila siku wanapita na ufagio saa mbili saa nne washamaliza kazi na wanalipwa na then
Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on
Mbunge hakwepi hili kwani kwa nafasi yake ni mjumbe ktk vikao vya baraza la madiwani