Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 473
Dhumuni ya hili tangazo ni nini?Mkoa wa Arusha unaongoza nchini kwa kupatikana na kuchukuliwa kwa matumizi ya huduma za simu, posta na utangazaji; kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni na matokeo ya utafiti mdogo.
Arusha inaongoza kwenye matumizi ya mfumo wa anwani za makazi na postikodi. Ni mkoa wa i kwa uwiano wa idadi ya laini simu za mkononi zilizosajiliwa idadi ya watu na pia kwenye huduma za utangazaji za kulipia
Jumla ya laini 3,262,398 zimesajiliwa mkoa huo wenye wakazi milioni
1.9; ukilinganisha na Dares Salaam yenye wakazi milioni sita na laini 9,102,203; takwimu za mawasiliano za Juni 2022 zinaonyesha.
Asilimia 10 ya watumiaji wa huduma za utangazaji wa televisheni kwa kulipia Tanzania wako Arusha, kwa mujibu wa takwimu hizo, zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Arusha ya pili baada ya Dar es Salaam kwa wingi wa ving'amuzi vya kawaida vinavyowezesha kupatikana matangzo ya televisheni za mfumo wa ardhini. Kuna ving'amuzi 314,395 Arusha na 1,230,485 Dares Salaam.
Kuenea miongoni mwa watu ni aslimia 15 Arusha na 23 Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na TCRA mwaka 2020 kuhusu matumizi ya anwani za makazi na mfumo wa postiodi ulionyesha kwamba Arusha inaongoza kwa uelewa wa mfumo huo.
Jiji la Arusha ni mwenyeji wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), ambao kwa kushirikiana na TCRA unajenga jengo la ghorofa 19 litakalotumika kwa ofisi, kumbi za mikutano na hoteli ya kimataifa.
View attachment 2581112
Huyo jamaa ukifuatilia hivi karibu kuna matukio ya hovyo yametokea huko Arusha nyuzi kibao sasa anakuja kama kusafisha na hilo jengo ndo hilo wanalipost kila mda ...Dhumuni ya hili tangazo ni nini?
😂😂😂Huyo jamaa ukifuatilia hivi karibu kuna matukio ya hovyo yametokea huko Arusha nyuzi kibao sasa anakuja kama kusafisha na hilo jengo ndo hilo wanalipost kila mda ...
Leo kuna taarifa ya kutelekezqa watoto mwishoe kulawitiana huko Arusha sas anakuja kusafisha mji wao..
Kikatili 😄Ndo tukusaidiaje?
Hayo majengo yapo empty kila kona hata wenzao wanalalamika huko twitter...Mata utangazaji sijui kituo kikubwa cha Television huko kwao ni kip?😂😂
Tatizo wanavuta bangi bila kula.Hayo majengo yapo empty kila kona hata wenzao wanalalamika huko twitter...Mata utangazaji sijui kituo kikubwa cha Television huko kwao ni kip?😂😂
Mara line nyingi ,mara uwiano ,simuelewi .
Meza wembeNdo tukusaidiaje?
Kule shamba city ukuti mambo kama hayaTatizo wanavuta bangi bila kula.
Point ipo wapi?😂😂😂Meza wembe
Kaangalie jamaa wa Nala baba ake hapa Tanzania anatokea mkoa gani na yeye ..Kule shamba city ukuti mambo kama hayaView attachment 2589317
Kule shamba city ukuti mambo kama hayaView attachment 2589317
Kwa Nini unaichukua sana Arusha?Point ipo wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kujua point yake ni ipi ana maana gani?Kwa Nini unaichukua sana Arusha?
Sasa anatokea mkoa gani wakati ...kituo Cha kwanza Cha ATN kilikuwa ni Arusha au hujui tukujuze?Kaangalie jamaa wa Nala baba ake hapa Tanzania anatokea mkoa gani na yeye ..
ATN Kwani kila kitu ndo kilikuwa huko? Si kamji kamekuwa juzi tu kwa sababu ya utalii kama sio kupigiwa debe wenyewe mngebaki kuvuta mabangi tu.Sasa anatokea mkoa gani wakati ...kituo Cha kwanza Cha ATN kilikuwa ni Arusha au hujui tukujuze?