Arusha: Jaribio la kumteka Katibu wa Chadema Jiji la Arusha kwenye Ofisi za Halmashauri ya Jiji hilo zashindikana

Kama ulitaka jamaa asiseme kuwa mleta mada ni muongo basi post yake ingekuwa na ushahidi attached na sio kulalama plain.
You're so stupid,eti "ushahidi attached" are you insane? Lissu alilalamika mara ngapi before he was shot? Si mlisema ni kiki tu za kisiasa but there was no one trying to harm him whatsoever, the results 16bullets penetrated his body luckily he survived.
 
Weng wao kabla ya kutekwa huwa wanaonyesha pattern moja tu. Nayo ni kupingana na serikal kwa namna yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua TISS ni watu wema. Na admire sana kazi zao.
Tatizo ni kuwa wameingiliwa. Wale real agents walikuwa wakifanya mambo ya maana ni kama wamekuwa sidelined. Na vijana wanao ingizwa kwa sasa ni kwa lengo la kutumika kisiasa.
Kapilimba afanye kitu. Asiache taasis nyeti kama hii kuharibiwa na wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilikuwa hofu yako tu - kama wangekuwa na nia hiyo hapo usingeruhusiwa kutoka ofisini
 
Ushauri wangu kila siku mnalalamika mnajua wanapokaa na jamii zao mnazijua acheni kulalama fanyeni vitendo na ninyi
Sio vema mambo hata yaachwe kwa wansiasa tuu, hata wewe mkuu Yomboo msaada na mawazo yako ni muhimu.
 
Chedema kwa uongo bana tena uongo wa kitotooo, jipangeni bana, ashindwe kutekwa mashinji atekwe katibu kata dah!
Ninajisikia kukutukana lakini nimegundua wewe ni mbwa usiyekumbuka yule wa Hananasif alikuwa diwani your days you dogs are numbered. Ben saanane is my brother.
 
Wewe na wenzako wote ni wapumbavu, lissu analalamikia kwenye media badala ya kwenda polisi kutoa riport .kwahiyo ulitaka polisi wao waende gazeti la mwanachi na facebook kuchukua maelezo ya kuhusu tundulissu anafuatiliwa? Hivi ukiwa nyumbu ndo unakuwa akili hauna kabisa au unakabidhi reception pale ufipa? Ukute ata huyu anayelalamika hapa hajaenda polisi kutoa riport.
 

Mkuu hayaja kufika lakini Siku yakikufika utaibeba Dunia Mkononi na hutoiona ni nzito ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…