Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,575
Hawajitumi kwenye kazi wengi wao Ni kuvaa vizuri na kupiga picha
Bodaboda zimeajiri vijana wengi, yale majambazi sugu yameshapigwa shaba.
Kifupi ni kuwa vijana wamedata., WamechokaTanzania kuna janga linainyemlea. Inawezekena isiwe ndani ya miaka mitano ijayo, lakini kwa hakika kuna jambo baya sana litatokea. Kulivyo na unemployment rate kubwa ya vijana, na viongozi wanavyozidi kukaa madarakani na kulewa madaraka chakari ni suala la muda tu vijana watakiwasha.
si bora hivyo kuliko vijana wa dar wanavokulana wao kwa wao.....
Nalima mpunga hapa mkuu.Nipo na mwenyeji wangu bwana Masokola.Unajua Ndevelwa Tabora?
Mpe Hai Mwal Jonas MKUU WA NDEVYELWA SEC
mwambie ..... Anakusaliamia
Halafu wewe nyau kweli, kwa hiyo NI KIKI MKOA UKIWA NA VIBAKANimeishi Arusha ni pakawaida sana upande wangu ukiuliza ni wapi pagumu nitakuambia Dar Es Salaam kuna vibaka wengi sana (kipindi kile panya road walisumbua sana)
Arusha inapewa kiki sana ila haina uharifu wowote that's why hata kanda maalumu Tz zipo 2 tu (kanda maalumu ya Dar, na kule kanda ya ziwa)
Kanda ya ziwa kuna mpaka mkoa wa kipolisi
Allah Akbar!🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli Dar noma, mabaunsa wengi afu wote wana mabwana zao
unadhani wanavoisema arusha ndo ilivo basi, wahuni wapo kila mkoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli Dar noma, mabaunsa wengi afu wote wana mabwana zao
unadhani wanavoisema arusha ndo ilivo basi, wahuni wapo kila mkoa
sisi tunaoishi arusha tunapaona kawaida tu
Ni kweli mimi nyau dume wewe nyau jike, niliposema kiki nilimaanisha vile vijana wengi wa huko hujinasibu kama ni wagumu wakati ni wachumba tu kaka wewe nyau jikeHalafu wewe nyau kweli, kwa huyo NI KIKI MKOA UKIWA NA VIBAKA
Acha Umbea umbea bintiVijana wanawaza wizi tu, ukabaji na matendo mengine ya ovyo.
Ukija kutembea Arusha jipange maana unaweza kukosa hata nauli ya kurudi ulipotoka.
Bado nchi hii sijaona wezi wenye ushirikiano kama hawa wa Arusha.
Acheni bangi vijana wa chuga fanyeni kazi halali tuheshimishe mkoa wetu[emoji849]
Una ushahidi na hili? Unaweza kumtaja hata mmoja anayejihusisha na hili?Pia waache kujificha kupitiwa mlango wa uwani kwa kisingizio cha kukuza utalii
Unachosema ni kweli, na hakuna anayejinasibu kwa tabia za kijingaNi kweli mimi nyau dume wewe nyau jike, niliposema kiki nilimaanisha vile vijana wengi wa huko hujinasibu kama ni wagumu wakati ni wachumba tu kaka wewe nyau jike
Madada zao ndo majinga makubwa,kwenye mapenzi yanataka yenyewe ndo yawe na sauti kuliko mwanaume,madada unayakuta eti ni masela yanavaa kihuni na kiswahili cha hovyo,eti tu ni mkoa ambao watalii wanaingia ili waendee huko Porini kuona Sungura, huu mkoa wa kipuuzi sana kwa baadhi ya watu wakeVijana wanawaza wizi tu, ukabaji na matendo mengine ya ovyo.
Ukija kutembea Arusha jipange maana unaweza kukosa hata nauli ya kurudi ulipotoka.
Bado nchi hii sijaona wezi wenye ushirikiano kama hawa wa Arusha.
Acheni bangi vijana wa chuga fanyeni kazi halali tuheshimishe mkoa wetu[emoji849]
Kutokana na matukio ya ujambazi na mauaji ilibidi jeshi liongeze nguvu, wakala shaba za kutosha.Sasahivi matukio hayo hayapo, vituo vya polisi kila kona halafu watu wanatafuta pesa sio ujinga ujinga tena
Mimi nimeishi sana Arusha tangu zamani, Arusha ilikuwa na Majambazi wengi san miaka ya 90 mpaka 2004 hapo (wengi wameuawa)
Ninachokiona sasa, ni. Kama bangi na miraa imehalalishwa maana vyombo vinapigwa hadharani kabisaMitaa iliyokuwa na Wavuta bangi wahuni ni Kijenge, Ungalimited, Ngarenaro, kaloleni na sanawa
Arusha ndio inaongoza kwa vijana mashoga wakijiuza kwa wazungu wakifuatiwa na wazanzibarsi bora hivyo kuliko vijana wa dar wanavokulana wao kwa wao.....