Arusha imebadilika kabisa

Huu mji utashuka mapato saana...miji inayotegemea utalii duniani kote inaisoma namba... Poleni aisee.
 
Huu mji utashuka mapato saana...miji inayotegemea utalii duniani kote inaisoma namba... Poleni aisee.
Watu tunaisoma namba haswa hapa, hoteli zote kubwa zimefungwa biashara hamna, migahawa ya kizungu yote nayo imefungwa,
Magari ya kitalii nayo yamepaki hayana PA kwenda, makampuni mengi hapa yamekufa.
 
Mtakufa njaaa Arusha. Taften alternative kwa miaka miwili ijayo. Corona inaimpact kubwa sana kiuchumi. Watu hawawezi toka lockdown waje kutalii. Wanaenda kutafta pesa kwanza. Hata wenye pesa wanapenda maisha yao. Kutalii ni kama sucide mission.
 
Watalii watakuja tu kijana. Wengi wameshachoka kukaa ndani huko nchi za watu
 
Arusha tunalia sana,ajira,watu wengi wapo majumbani kwa miezi miwili sasa,hakuna kazi,utalii hoi.
 
Nadhani hayapo...Manyara labda.
Watu huwa wanachanganya wanadhani madini hasa Tanzanite ipo Arusha....Na vijana wa Arusha wanawa-indoctrinate hivyo.
Huwa nacheka sana, unakutana na mtu na manyonyo yake yameshalalaga au mtu na madevu yake kidevu kimeshakomaaga anasema anaenda zake Arusha mererani au Arusha ina Tanzanite.๐Ÿ˜
 
We jombii umekuja kuwaje mbona unatuzalilisha arif. We kama unalia lia, lia tu kimpango wako kwaiyo bila utalii maisha hayaendi au we ndo wale ulikuwa ukitoka safari unatusumbua kitaa hukujua nn maana ya saving wala huku taka kusikia ni bia na wine sasa utachemsha supu ya mawe ukunywe mpaka korona ikate mta nyooka kama spoku. Saivi nadhani kila mtu kapata uhalisia wa life sasa season ukirudi bugia tena
 
kwamba wazunguu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sasa rasta man wanyoe tu waende veta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ