Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,416
- 18,443
Wakuu Amani iwe nanyi., Peace and love π wana jf.
Jambo ambalo nataka kusema ni kuwa Arusha imebadilika kwa kiasi kikubwa sana tangu hili gonjwa liingie yaani ni balaa.
Arusha ni mji uliojaa wazungu kila Kona utafikiri tupo South Africa π na tushazoea kufanya biashara au mazungumzo ya hapa na pale na hawa wadoshi wakiwa hapa jijini.
Na wazungu wengi wao wamewekeza sana hapa. Asilimia kubwa sana ya wana Arusha pato Lao kubwa achia mbali madini la pili ni utalii.
Lakini kwa sasa hali ni tofauti kabisa urafikiri tupo singida au wap sijui hatuoni wazungu kabisa kabisa hata Ile migahawa wazungu hukaa hamna mtu mweupe hata kidogo.
Hotel, migahawa, na kule vinyagago na sehemu zote wazungu wanapopendelea kutembea au kukaa hamna kabisa watu weupe.
Makampuni mengi, migahawa, maduka na hata masoko wengi tunategemea utalii, sahiv kila mtu analia.
Watu weusi tunalia Arusha kwa kweli sijui kwa mikoa mingine mimi ila hapa chuga tunalia πππ