Elections 2010 Arusha ililipuka

Gwallo

Gwallo

JF-Expert Member
2,606
2,000
Arusha ililipuka jana majira ya jioni, furaha isiyoweza kuzuilika mara baada ya msimamizi kumtangaza Lema kuwa ndiye Mbuge wa Arusha na kumbwaga Matilda wa ccm, yowe, Vifijo na nderemo ilisikika katikajiji la Arusha, njia zote ndani ya jiji ilikuwa haipitiki kirahisi kwani vijana na wazee walikuwa wakirukaruka na kupeperusha bendera ya CHADEMA.

Kabla ya kutangaza matokeo hali ilibadilika pale lowasa alipofika katika manispaa hiyo zomeazomea ikaanza. Tunamshukuru Mungu kwa kuepusha malengo ya ufisadi Arusha. Lowasa alikuja kufanya nini pale!!!!!!!!!! tafakari:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom