Arusha iko tayari!

Arusha iko tayari!

ee mungu wa mbinguni mpe upofu yule gaidi aliyetoka china ili mabomu asiyaone mpaka j3,tunajua yupo hapa mjini anapanga kudhuru watu,jana alikuwa kwenye kikao pale sg hotel.jeuza mipango yake badili akili yake.mpige pigo takatifu jpili ili waliomtuma kwa kujua ana akili ndogo washangae.
 
Amina...............
 
Amina.
 
Kila lakheri makamanda.Tupo pamoja kwa sala.Live updates muhimu.
 
Pamoja na kuwa mimi si mtu wa huko ila na wish kama Mungu angenipa uwezo leo na kesho nikawepo huko. Kwa kuwa haiwezekanai naomba nitoe neon langu la mwisho kwa wana ARUSHA wote, mtakapoingia kwenye chumba cha kupigia kura kesho ……… “PIGENI KURA ZA CHUKI DHIDI YA WADHALIMU HAO CCM” ili wajue kuwa kweli ukichoka hata watu nao wanakuchoka.
NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA NA WA USHINDI KWA CDM
 
Back
Top Bottom