Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Hiphop raggah.Hivi dogo janja anafanya mziki wa aina gani?
BongoflavaHivi dogo janja anafanya mziki wa aina gani?
Aisee utakuwa unakaa bushi sana mkuu kwenye list wote ni mastar kwa jiji la bashite.Nime mjua mmoja tu ao wengine mna wajua mkoani kwenu tu
Ninavyofahamu mimi kwa Tanzania harakati za Hiphop zilianzia Dar es Salaam, lakini kwa vile kuna watu wana jealous na jiji hili, tuchukulie tu whatever.
Hata USA harakati za Hip-Hop zilianzia NEW YORK lakini centre gravity ya hiphop lwa sasa ni ATLANTA pia miji mingne kama New Orleans,Chicago Hiphop ni popular kuliko New york
Rama Dee the bestAmani iwe nanyi wakuu.
Arusha ni jiji lilo barkiwa watu wenye vipaji vya aina mbalimbali,tukiacha muziki hiphop uliozaliwa na kukulia Arusha kuna vipaji vingine kama vya reggae na dance.
Sasa leo tujikumbushe manguli na upcoming artist wa RnB kutoka Arusha unaweza kuongezea kwenye list.
1.Rama dee ni msanii bora kabisa kuwai kutokea kwenye kiwwnda cha mziki wa kizazi kipya sasahivi anaishi mbele Sweden ni kawaida kwa machalii wengi wa arusha.
2.Benson ni msanii anaye chipukia kwa kasi ya juu kutoka arusha huyu dogo naye anafanya vizuri sana ni habari nyingine pale THT,kibao kilicho mtoa ni hauzimi.
3.John B huyu ni chorus killer anaimba kwa note za juu sana tofauti na wasanii wengi wa RnB hapa bongo hivyo anawakilisha Arusha vyema kabisa.
4.Ayler voice ni mwanadada matata mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni,alianza mziki kitambo kidogo wajuba tunamuita arusha girl nazani atakuwepo hapa jukwaani pia kwani ana exposure ya kila kitu huyu mtoto mzuri.
5.Vanessa mdee amepewa namba tano kwasababu amesahau jiji lake na kujifanya mdaslade sana,ila anafanya vizuri sana kwenye mziki wa RnB na marachache ana acknowledge A city.
Unaweza kuwataja wakali wengine pia wanaofanya RnB na pop kutoka Arusha.
Anha kweli nilikua sijaona hapo aliposema Hiphop imezaliwa Arusha naunga mkono hoja yako mkuuHatujahamia New York bado, kwenye post ya mleta mada amesema muziki wa Hiphop umezaliwa na kukulia Arusha. Mimi nasema si kweli, kwa hapa Bongo kila mtu ajua harakati za huu muziki zilivyo anza. Na Dar Es Salaam ndio kitovuni. Sasa hizo blah blah unazokuja ni topic nyingine.
Bila shaka umeanza kufuatilia mziki enzi za Diamond huwezi kumjua Rama DeeMsanii ni namba 5 tu hapo
Huu uzi ni wa zilipendwa?/ watu wa chuga ni emotional likija suala la ukanda. Huyo rama dee anajulikana kwenu tuBila shaka umeanza kufuatilia mziki enzi za Diamond huwezi kumjua Rama Dee