Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

Ha haa wewe ndiye ulikuwa unashinda mtegoni? Mimi nilikuwa najichimbia chumba cha pale mtegoni (dereva wa Nissan ya shule aliweka saloon yake mle
Chumba cha ma VIP kile, kule walikuwa wakikaa viongozi wanaojuana na viongozi asiee...mimi mtu wa msuli bedi sana, class nilikuwa siendi, baridi sikiweza aisee
 
Nafikiri umeifasili thread tofauti.....
 
Unataka kubembelezwa?
Kama mteja utanunua kama siyo pita hivii...usituletee marinjirinji bwasheee

Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
 
Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegitables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee
 
Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegetables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee
 
Mkuu Tuombe Radhi
 
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegetables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee

nikipajua uuziapo nitakuja...
 
Ukweli mkuu, niko Arusha sasa mwaka wangu wa pili, hakuna ukarimu kabisa kwa wateja utafikiri unapata huduma bure. Kuna baadhi ya bar ukienda kama sio mdau wa mara kwa mara inachukua muda kuhudumiwa. Hakuna neno karibu tena kwa wateja.
 
Hii nikweli naunga mkono hoja japo siyo sehemu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…