Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

Hata shinyanga imeipita Arusha, kwahiyo Shinyanga ni pazuri kuliko Arusha? Mwanza ni jiji zuri lakini Arusha ndio the best ukitoa Dar.
 
Hilo la uzuri umeleta wewe. Uchumi ni namba, sio urembo!
 
😄😄😄😄😄 mbona nyuzi zimekuwa nyingi za kuiponda arusha,yani hiininaonyesha arusha baba lao maana mti wenye matunda ndo unalengwa mawe
 
Yangu haiuzwi inaliwa na mwenye anaeinunulia vyupi hii sio sehem ya kila mtu kutupa takataka zake
Dada zenu huku wanapuruliwa haswa wakiahidiwa elf Kumi anapanga bajeti ya week anapuruliwa haswa
Jita moja wiki juzi kawachukua wawili
 
Yangu haiuzwi inaliwa na mwenye anaeinunulia vyupi hii sio sehem ya kila mtu kutupa takataka zake
Dada zenu huku wanapuruliwa haswa wakiahidiwa elf Kumi anapanga bajeti ya week anapuruliwa haswa
Naomba niwe mpenzi wako,nakuhaidi hutojuta
 
Yangu haiuzwi inaliwa na mwenye anaeinunulia vyupi hii sio sehem ya kila mtu kutupa takataka zake
Dada zenu huku wanapuruliwa haswa wakiahidiwa elf Kumi anapanga bajeti ya week anapuruliwa haswa
Wambulu ndo wanaparuliwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…