Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 19,988
Moshi Manispaa - Arusha Jiji ni km 80 kwa gari binafsi ni saa moja dk 30 ila kwa usafiri wa umma ni masaa mawili na nusu hadi ma 3 itategemea na kusimama kwa gari vituoni.Moshi - Arusha ni kilometa 107?? Halafu masaa mawili na nusu? Mwongo sana.
Ila jamaa katudanganta hizo km 107 sijui katoa wapi.