Yap, inabidi pia kufanyike maboresho kwenye Public Transport, na stand mabasi ya Mji wa Arusha,Leo kweli umefanya la maana. Drone footage nzuri. Mengi yamebadilika tangu niwe huko 2016. Ila hiyo footage imefanya iwe ndogo zaidi.
Eldoret is now a really big town with its own satellite towns. I believe it got a boost after RUTO became DP.Not bad, can give Eldoret a run for its money. Can't hold its own on Kisumu and Nakuru though.
Was not competition though but it is an insult
Kulinganisha Arusha na huu Uchafu unaitwa kisumu
Kwenye Public Transport, Arusha na Nairobi ni kama zinafanana tu. Huko kote kuna utiriri wa vifodi (hiace) zimetapakaa katikati ya mji.Yap, inabidi pia kufanyike maboresho kwenye Public Transport, na stand mabasi ya Mji wa Arusha,
kwenye eneo la Public transport Arusha inafeli sana
Yap,inafanya mji usiwe na order, kwa mji wa Kitalii kama Arusha unahitaji some work. Vile vipanya,bajaji na bodaboda vinafanya mji unakuwa chaoticKwenye Public Transport, Arusha na Nairobi ni kama zinafanana tu. Huko kote kuna utiriri wa vifodi (hiace) zimetapakaa katikati ya mji.
Sio rahisi mkuu, ilikuwa ni rahisi sana kuweka utaratibu mapema kabla ya hivyo vipanya na mabajaji havijatake over mijiniArusha usafiri wa public ni mbaya ......huku hivi vi panya ni vidogo,vimechakaa duh...utajua siyo jijini...
Mimi nashauri hiace zipigwe marfuku watu walete coaster
I appreciate the beauty of lake Victoria,
But really what is the difference between that poor glorified village with this Morogoro ?
Hivi vijiji ni vingi sana huko bongolala
Kisumu is incomparable in Tz outside Dar, just like Mombasa.Was not competition though but it is an insult
Kulinganisha Arusha na huu Uchafu unaitwa kisumu
Duh, but checking that Video kweli Kenya kuna hali ngumu sana, umaskini kama huo kweli 2021?This one looks like a slum. Brown, dusty, no trees. I would compare it to Isiolo in Kenya.
Hehehe, umejaa mihemko hatari,Kisumu is incomparable in Tz outside Dar, just like Mombasa.
View attachment 1743785
View attachment 1743784
View attachment 1743787
View attachment 1743788
Pole bro, blind patriotism sio mbaya, keep up soothing yourselvesHehehe, umejaa mihemko hatari,
Kisumu ilishachapwa 10 Nil na Dodoma na Mjadala tulishaufunga