Mwali hujambo..umeshaamka?Tunaomba picha (kama itawezekana)
Ndio, nimesha amka, nasoma hapa. I have so much pending readings.
Umeona tupo jukwaa gani lakini?? hapa sio chit chat... usichakachue please.
We uko Arusha leo? Nitumie picha basi nione kukoje leo hii.
Tunaomba picha (kama itawezekana)
hata wakati wa kumtoa gadafi awakuvamia nchi yote mapambano yanaanza taratibu then mnajikuta mnaingia hadi town na kwenye mitaro watakayo kuwa wamejifichakwanza naipongeza chadema kwa jitihada za kupata wanachama huko vijijini. Hii ni tofauti kabisa na vyama vingine vya upinzani. Ila hii m4c ni arusha tu?
Vipi kuhusu mtwara, lindi, mtimbira huko morogoro, singida huko dodoma, namtumbo mtera na sehemu kama hizo?
Hii italeta upinzani wa kweli itakiunda chama na itapambana kisawasawa na ccm.
kwa kweli mji umependeza.....kila mtu ana kiashiria cha chama....barabarani watu ni kushow love....hunijui sikujui....una nembo ya chama...we show luv....honi nyingi alama yetu ya vidole kwa sana.....jamani chama nakipenda hiki....
Leo mji wa Arusha umepambwa kwa scarf,kofia na bendera zenye rangi ya CHADEMA. Maongezi yanayotamba mjini yanahusu CHADEMA.
Alafu kuna t-shirt zilizioandikwa "Mh Lema jipe moyo, tuko pamoja nawe" kwa mbele na "Movement 4 Change kwa nyuma" nazo zimevaliwa kwa sana.
Kweli hii ndio mji wa mabadiliko ya kisiasa hapa Danganyika...mpaka raha kuona watu walivyo/wanavyoendelea kuhamasika!!
CHADEMA iko juu!!