Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Kila shetani na mbuyu wake,tuambie kipi cha ziada ambacho Cafe La Aziz hawana?Habari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO
Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.
Supu ya mkuyatiKila shetani na mbuyu wake,tuambie kipi cha ziada ambacho Cafe La Aziz hawana?
Hili jina lao tu nikiliona naona too much spices kwenye chakula sijui kwannHabari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO
Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.
Na ww ni wa hiyo location?Cafe la Aziz kwa misosi yao ni hatari.
Na ww ni wa hiyo location?
Pale kuna SUPA MKUYATKila shetani na mbuyu wake,tuambie kipi cha ziada ambacho Cafe La Aziz hawana?
Ok ok mdau wa ChugaChuga ndio skani, hayo ni maeneo ya kupiga msosi.
Ile pilau mbuzi ya pale ni hatari sana.Habari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO
Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.
Kabisa mkuuIle pilau mbuzi ya pale ni hatari sana.
Du! Hii kali! Tui la nazi mpaka kwenye chai!Pale kuna SUPA MKUYAT
Pia hawajazi sana spices zinazoweza kukukera...kiasi kwamba unaweza kula kisha ukitoka tu mlangoni unajihisi kutapika.
Chai inatiwa mpaka viungo vya pilau na tui la nazi...umeona wapi weye,
Mpaka kesho mi naswalia pale. Sema ni wa bakwata OG wale Waze.UMENIKUMBUSHA MASJID QUBA PALE PEMBENI, NLIVYOKUA NASOMA SHULE MOJA HAPO HUO NDO ULIKUA MSIKITI WANGU NIKITOKA NAPITIA HAPO CAFE NA WANA
Vipi munawarHabari ya sasa kwa Arusha ni MWAMBAO
Wamewapoteza kabisa Cafe la Aziz.