Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

Mnaochangia hii mada mnataka kutuambia Rais Kikwete hakifika Arusha wana Chadema watampiga?
 
Nani atatufaa wana A TOWN ZAIDI YA EL??? TUTAFAKURI KWA KINA

We mtafakuru EL na sisi tumtafakari dokta wa ukweli dr. Slaa the next president of TZ in the few days to come
 
Kazi kweli kweli! Hizi ni hisia au? Angepita town wangemfanya nini? Anyway ni mawazo yako tu screenmaster haikuwa hivyo.

Itakuwa ni ivyo ndo maana hata ulemkutano aliopanga juzi kati alienda makamu wake kwa woga wakukumbana na kile kilichomkuta mbeya ushauri kwa Jk `If u can't fight them join them` na sio kuwakwepa Cdm na watu wenye uchungu na nchi yao
 
Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
Usiokwisha
Id name yako na akili yako ni SAWASAWA.
 
Naona watu mnatumia muda wenu mwingi kwenye hii thread kudiscuss kitu ambacho ni senseless

nyani wanachekana makalio!!!!!! walio nyuma yako wakucheka pia!
 
Ikiwa ni hivyo watafanyaje kampeni katika uchaguzi wa madiwani ikiwa mkulu wao anaogopa au inadhaniwa anaweza kuabishwa kwa kuzomewa n.k?
Suluhisho ni kufanya siasa za safi.
 
Haliwaumizi chochote kwani wanajua Ar hawana jipya
 
Nimelipenda jibu lako mkuu na huyo alouliza wamgemfanya nini asipolikubali atakuwa mnafiki
 
Mali ya pua yanamfika ndo anajifanya mkarim hee! Na bado hiyo ni rasharasha tu
 
Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
Usiokwisha

Utafanya ivo wewe na familia yako mnaofikiria kwakutumia masaburi na sio wana Arusha walioelimika na kujua haki zao
 
Jk unalo limekuganda chakufanya ili tuje kukumbuka kwa jema jiuzu (resign)
 
Mbeya waliandika bango Mbeya nchi rais Sugu, Arusha nayo itakuwa nchi rais Dr. Slaa!
 
Mnaochangia hii mada mnataka kutuambia Rais Kikwete hakifika Arusha wana Chadema watampiga?
Hayo umesemA wewe, lakini jiulize kwanini hakatizi mjini!..
Last two weeks ilikuwa aje kuzindua chanjo za measles, na magari ya matangazo yalitangaza mpaka D-Day, lakini dakika za mwisho wanaompenda walimwonya kuwa asijaribishe kusogeza pua yake A-Town!...na kwa usikivu wake aliamua kumtuma Gharib Bilal, na yeye akabaki Ikulu!.Mia.
 
We mtafakuru EL na sisi tumtafakari dokta wa ukweli dr. Slaa the next president of TZ in the few days to come
Huyo dokta ana kipi kipya? Yupo wapi kwa sasa?
 
Tumechoka. Na JK anajua. na RC anajua kavamia jiji. kama CCM haitaamini waje kwenye kampeni waone watakavyoachwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…