Arusha au Kilimanjaro wapi naweza kupata huu mmea?

Arusha au Kilimanjaro wapi naweza kupata huu mmea?

Unaitwa iyomboo kwa huku kwetu. Huwa Mara nyingine tunachemsha pamoja na nyama tunakula. Watani zetu wasambaa wanauita Mzugwa. ni dawa hadi ya chronic ulcers.
 
Kumbe ni mwanachama [emoji14]
Wapenzi wenye kutumia marijuana wote hufurahia tendo la ndoa kwa kiwango cha juu sana kiasi kwamba sio rahisi watengane hata kama kuna matatizo mengine
Sawasaaa
Ndio maana bado tuna nguvu na tunahimili kila jambo
 
Unapikiwa kwenye nyama ( mbuzi) unapunguza cholesterol kwa kiasi kikubwa. Pia ni dawa kubwa ya kisukari, hasa ukichanganywa na mkananga. Nakumbuka Kuna ndugu yangu mmoja alikua anahitaji kufanyiwa surgery alishusha sukari kwa kunywa dawa hii.
 
Back
Top Bottom