Arusha: Ashikiliwa kwa kosa la kubaka watoto wake wa kike

Baba hana responsibility ya kulinda watt wake? Kazi ya kulinda MTT ni mama peke yake then umuhimu wa baba kwa sisi binadamu ni UPI? Maana unataka kutuaminisha wanaume ni sawa na Wanyama akili hawana kabisa?

Kazi ya baba ni kukuzalisha tu
 
Alafu akiwa anatoa ushahidi utasikia akisema "MBONA MBUSI INAKULA MAMAAKE" hawa jamaa hawanaga hiyana kabisa
 
Tumekimbilia kumlaani huyu baba ila, kama alianza na mkubwa na baadaye mdogo wake, mambo yakiwa saafi hadi akaamua kuuchonga mzinga na kuanza kula mayai mchana peupeee!! Ati, mama akiwa kazini!! Jamani, tujifunze kufikiri kidogo. Hebu tuweke kanukta kabla ya kufanya maamuzi.
Swali kwenyu wamama wa fj. Hivi una muda na watoto wako wa kike kweli?? Amlambe wa kwanza, halafu wa pili. Azoee hadi aamue kulamba mchana. Hapo kasoro iko kwa mama sio baba wala watoto. Huyo mmama ni msheeenzi sana. Hajui wajibu wake tangu ndoa hadi malezi
Nawe sijui vipi yaani wewe ukawe na genye zako ukapalamie watoto wako wakuzaa kweli eti mkewe ni mshenzi sizani kama nawe ni mzima utakuwa namatatizo hivi mtoto wako dada yako mama yako hata akae bila nguo unaweza mtamani kweli? Nina mashaka nawewe pia
 
Sibaki watoto wangu wala sijawahi kubakwa na mtu yeyote. Nimesema, wa kwanza kulaumiwa na kuadhibiwa ni huyo mama. Hana malezi. Mtoto sio kumpikia ugali tu, kama mama anatakiwa awe karibu saana na watoto wake haswa wa kike. Awachunguze na kuwastadi tabia zao ili zikibadilika ajue. Sio kungojea uje kuambiwa na majirani. Hiyo kazi anayoifanya hadi akija hajui mtoto kabadilika ni ya kiwapi?? Mtoto wa darasa la 6 alale na libaba lake hata usijue, wewe ni mama au taahira? Usiogope kupeleka lawama kunako takiwa.
Kwani anapofanya kitu kama hicho anamwambia akamsimulie mama yake wewe darasa 6 unaona mkubwa sana acha upuuzi wako
 
Kwa hiyo baba ni haki yake kubaka kwa sababu mama yuko busy na kazi au una maanisha nini? Tusimlaumu mama wa watu ni watt wa ngapi wamelelewa na baba zao tu baada ya mama zao kufariki na wala baba zao hawajawahi kuwabaka? Kwa hiyo kama mama hayupo ni haki ya baba kubaka? Ndio maana nakuona una element za ubakaji
Element za ubakaji atakuwa nazo mke yuko busy unakimbilia kwa watoto
 
Huyu angekuwa ni muislamu,ungeona comment za kukejeli uislamu,utafikiri kama wa dini ya 'mkombozi',hawafanyi makosa.Mtu akiwa mhalifu,asihusishwe na dini yake,wala kabila,wala rangi yake.Huo uhalifu,uwe wake mwenyewe.
Yamekujaje tena haya Mkuu? Unawachokonoa?
 
Bidada;
Una ruhusa tu kunitukana na huenda wewe ndo huyo mmama aliyezembea hadi watoto wake mwenyewe kufanywa wake wenza wake. Unaposema ati, baba huyu aliwabaka watoto wake, tumia neno sahihi hapo. Alioa watoto wake mwenyewe. Alibaka ulisikia kelele?? Huyo mmama, iwe ni weye au nduguyo, alikuwa mzembe. Full stop. Tumwite mzembe basiiii. Tusimwonee huruma mzembe huyu. Hivi jiulize, watoto hao nadhani walikuwa wanakaa chumba kimoja pamoja. Mpaka aliyeanzwa awe mdogo au mkubwa mtu akamwambia mwenzake kuwa leo babaa kaninanihiiino. Mwenzake naye akaamua aonje hiyo kitu. Mama upo hai kweli???
Nasema, nitukane, nisimange, niite majina yako yoote, msimamo wangu ni kuwa, huyo mmama ni mzembe hata shetani anasema ni mzembe huyu. Wewe kama ni mzazi, jifunze kitu hapa. Uwe karibu saana na watoto wako wote. Chukua tahadhari. Wachunguze wanao kila uchwao. Kama waliweza kubakwa na baba yao, basi jirani au ndugu wa karibu nao ndo wangewafanya makubwa zaidi. Siungi mkono hiyo dhambi ila nimesema, hilo limama nalo lipewe adhabu sawa na hilo libaba. Serekali ikiliachia, jamii iliadhibu nalo. Nasema; Nimechukia sana
Kwa taarifa yako wabakaji wengi ni ndugu ambao huwezi kumzania unajua ndiye mlinzi wa watoto, baba mzazi, baba mdogo, wajomba ndiyo wabakaji wakubwa wewe unaongea nini!!
 
Mi naona unamtetea huyo mbakaji unalaumu mama, swalii ni je kama mama akifariki baba hawezi Lea binti? Maana hapa unasema mama awe ana inspect watt kila uchao na kama hayupo unataka kutuaminisha kuwa wanaume hawana akili kabisa za kuji control kujua kama huyu ni mtoto wangu na nijiheshimu na niheshimu mtoto wangu mpk mama awepo awe ana ku monitor wewe baba mwenye akili za panzi na watt awe ana wa inspect kila SAA. Please usidhalilishe wanaume, wako wanaume wanalea watt wao wa kike vizuri bila hata wake zao kuwa na kazi ya Ku monitor kila siku.
Kama mzazi unatakiwa uwe karibu na mtoto hiyo sijakataa lakini sio kumtetea mbakaji kwa kulaumu mama
Huyo mwanaume nimemshangaa sana baba zetu walikuwa wanatulea vizuri hata mama asipokuwepo yeye analeta mambo ya hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom